Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Kuna mambo ambayo huwa yanakwaza watu sema sometime wananyamaza au kutabasamu tu kwa sababu ya staha au kumheshimu mtu.
1. "Bado una mtoto mmoja ongeza mwingine sasa/ mtoto amekua sana sasa ongeza mwingine. usimpe mtu ushauri wa namna hii sababu alipozaa huyo mmoja hakuja kukuomba ushauri. Na acha mtu aishi atakavyo. Usimpangie maisha.
2. " naona una midume tupu sasa ongeza na wa kike ". Huu ushauri ni wa kipambavuh pia. Kama mtu hajaja kukuomba ushauri kwako namna ya kupata mtoto wa jinsia flan wewe inakuhusu nini?
3. Una wa kike tupu... Sasa tafuta wa kiume" seriously? Tuacheni kupangia watu maisha.
4. Sasa nawe zamu yako kuoa/ kuolewa.... Siku zinaenda. Wa namna hii ikitokea mmehudhuria msiba pamoja naye mshauri. Sasa nawe zamu yako kufa..siku zinaenda. Uone kama atafurah. Kila jambo na wakati wake.