As salaam alykum, amani ya mungu iwe nanyi, mimi nina miaka 32 elim yangu ni certificate ya ualim kwa sasa npo Dodoma chuo mwaka wapili nikisoma shahada ya ualim yaan najiendeleza kielim. Dini yanga muislam natafta mke wa kuoa awe muislam au akiwa dini nyingne awe tiari kubadilisha dini ila ajue atakuwa mcha mungu kwa maana kwamba amuogope muumba wake kwa jambo lolote analotaka kulifanya. Ajue akiwa kwenye ndoa atajistir Kama sheria ya dini inavyosema, awe na mapenz ya dhati kwa mme wake pamoja na familia ya mwanamme yaani wazaz pamoja na ndugu sababu bila hao wazaz asingeweza kuwaona. Nilibahatika kuoa miaka miwili iliyopita ila tuliachana na mke wangu ila aliniumiza Sana. Umri kuanzia miaka 24-28,elim ngaz ya Chet, diploma au degree.Atakae kuwa interested amwambie mungu alaf aje pm, naamin mungu ndoo kila kitu akisema jambo liwe linakuwa