Ex- mchepuko siuelewi

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,606
21,238
Habarini wadau
Nina mchepuko wangu mmoja kama mwezi sasa ulikuja kwangu na hoja kuwa tuachane kwani unahisi hautendi haki kuwa na mimi kwa mke wangu na familia yangu. Huu mchepuko una jamaa yake. Sasa cha ajabu ni kwamba kila mara unapiga simu na pia unakuja sehemu yangu ya kazi kupiga story na mizinga midogo midogo na unasema umenizoea sana kama rafiki yake. Nashindwa kuuelewa kabisa maana hoja ya kumwagana ulileta wenyewe na mie nikakubaliana nae 100%
 
Walijua jando na unyago tu.
Kwahiyo wahenga nao wamegawanyika sehem nyingi
f7d1e7d8ea0c65bbeb16efc8ed4f978c.jpg
 
Teh teh teh, naona mada imehamia kwa 'Malenga wapya'.
Tuendeleee...
 
Back
Top Bottom