The Great Engineer
Member
- Aug 8, 2016
- 39
- 44
Habari wana JF?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni chuo kikuu, nahitaji kuwa na msichana mwenye umri kuanzia 20-25 elimu yake kuanzia kidato cha sita, diploma hadi chuo kikuu na ambaye yuko serious kweli.
NB. Awe mkristo dhehebu lolote lile lakini awe tayari kwa baadae wakati MUNGU akitujaalia kutupa uzima wakati wa ndoa kubadiri dhehebu kwani Mimi ni KKKT.
-Awe mtu mwenye hofu ya MUNGU pia
- Awe ni mtu anayewaza maendeleo na sio kupenda mteremko tu.
- Awe pia ni mtu anayeishi DSM lakini kabila lolote tu.
-Awe mtu alielelewa kimaadili pia.
Kwa yoyote ambaye atakuwa tayari anicheck inbox. kama hauna cha kucoment basi ni vizuri tu ukapita.