Nimetendwa Dakika 10 zilizo pita

Michael Anthon

JF-Expert Member
May 7, 2017
219
108
Hii haitakuwa mpya kwenu maana ni upepo wa kawaida wa karne hii
Kwakuwa yamenikuta na mimi basi nafurahi kuwa miongoni mwa hao waliotendwa kabla yangu
Naombeni msaada mwenye full Audio ya wimbo huu wa SIWEZI SHINDANA NA UKWELI A share link hapa au anaejua huu wimbo kaimba nani Anitajie
Tusaidiane kimtindo mtindo!
 

Attachments

  • 16115160_221179738342386_9203642876947333120_n.mp4
    2.3 MB · Views: 34
IMG-20170605-WA0046.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom