Acheni kujirahisisha nyie wanawake mlio katika ndoa

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,039
Wanawake mlio bahatika kuolewa ni kitu gani kinawasibu katika ndoa zenu?
Kwanini mnapenda kujirahisisha sana? Hamuoni kama mnajidhalilisha wenyewe na kupelekea mume au waume zenu kudharaulika?

Msipende kugawagawa hizo papuchi zenu kama peremende wapeni waume zenu tu.
Mkitaniwa tu kidogo hao mnajaa ndani ya kumi na nae kama pasi iliyochezwa Gaucho.
Heshimu ndoa zenu sitaki kuja kumuona mke wangu nitakaemuoa awe na tabia kama zenu.
 
Wanawake mlio bahatika kuolewa ni kitu gani kinawasibu katika ndoa zenu?

Kwanini mnapenda kujirahisisha sana? Hamuoni kama mnajidhalilisha wenyewe na kupelekea mume au waume zenu kudharaulika?

Msipende kugawagawa hizo papuchi zenu kama peremende wapeni waume zenu tu.

Mkitaniwa tu kidogo hao mnajaa ndani ya kumi na nae kama pasi iliyochezwa Gaucho.

Heshimu ndoa zenu sitaki kuja kumuona mke wangu nitakae muoa awe na tabia kama zenu.

Na humu nahisi wapo acha waje watakujibu
 
Mi nadhani hapa swala ni wewe kuweka mipaka na vijitabia vyako,. Kwa nn umtest tu kidogo ajae? Ningekua Mimi memchokonoa ningeishia kutukanwa na kusemelewa kwa mumewe.
 
Mi nadhani hapa swala ni wewe kuweka mipaka na vijitabia vyako, utakua unakaroho ka ushetani kwenye paji la uso. Kwa nn umtest tu kidogo ajae? Ningekua Mimi memchokonoa ningeishia kutukanwa na kusemelewa kwa mumewe. Nyota ya mbwa koko.
Utani ni sehemu ya maisha Mkuu.
Huwezi kuuepuka hata siku moja!
Ila akiona utani huu utani siyo, kwanini asiwe mgumu?
 
Back
Top Bottom