ABINALA
Senior Member
- Sep 20, 2013
- 134
- 55
No kweli kuwa sio jambo LA kukana/kupinga kwamba wanaume tunapaswa kulaumiwa juu ya sex before marriage na kusababisha watoto out of wedlock.
Nyie akina Dada mnawaamini vipi wanaume? Hata mnadiriki kuitoa sadaka miili yenu kwa wanaume ambao hamna uhakika kuwa watawaoa?
Mbaya zaidi unakubali kudanganywa na waume za watu wanaosema wanawatoto ila hawajaoa.Na nyie mnadanganywa na tamaa zenu za mapenzi na pesa mnavua.
Matokeo yake kadri siku zinavyosonga unakujakugundua kuwa jamaa alikuwa anakutumia kama mchepuko.
Sasa mnapata mimba; kutokana na mambo mengi ya kifamilia ya mwanaume pengine wakati huo umebeba mimba na Mke wa huyo hawala yako anamimba.
Hivi unafikiri mwanaume atachukulia uzito mwanamke gani?
Hata kama utakuwa mjanja ukawa unakula dawa za kuzuia mimba.Dada yangu mwili wako no special kwa mumeo ajaye na sio kwa ajili ya matumizi ya anasa.
Mnawapa machungu waume zenu was baadae watakao waoa kwa ndoa.
Jambo LA kuzingatia ni kuacha tamaa za ngono na pesa mwogopeni Mungu!
Mnaweza kusema hakuna sababu ya kujitunza kwasasabu na wanaume watakaowaoa huenda wanafanya uchafu huo.
Ni ukweli kwamba kutokana na tofauti za kibaolojia ke mnawahi Ku mature kuliko me!
So mnawavutia watu wenye ndoa zao na ambao wameshajiweza kimaisha na wanaamua kuchepuka na nyie mkidhani in mapenzi ya kweli.
Wanaume hao wakisha timiza haja zao wanawabwaga.
Mnabaki Ku regret kwanini mlichezewa mkaachwa Mara wanaume sio waaminifu.
Wekeni password kwamba kufanyi ngono mpaka fungate mkachafue mashuka huko na ndoa itakuwa na thamani.
Kama ilivyo ATM bila nenosiri hupewi pesa iwe kwenu pia bila utaratibu kufuatwa hakutoki kitu.
Duniani pangekua paradiso kama watu tungeheshimu ndoa
Umasikini,magonjwa,kujiua,kujikinai,kujilaumu, kujichukia,wasiwasi,watoto wa mtaa/chokoraa,single mother's kunasababishwa na uzinzi
Flight from adultery and fonication!!!!!!!! Our body was meant to honor God!!!!!!!!!!!!!