Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,956
Kama kichwa kinavojieleza,
Mdada ni ipi sifa kuu na muhimu zaidi kwako ambayo ukimkuta mwanaume mwenye sifa hiyo basi huta hangaika kutafuta mwingine.
Usiweke sifa zaidi ya moja kwasababu hapa tunataka moja ambayo wewe unahisi ni ya muhimu kuliko zote kwa mtu umtakae.
Karibuni.