ZIJUWE MAANA ZA RANGI MBALIMBALI ZA MASHUKA YATANDIKWAYO KITANDANI..

Nzory Mussa

Verified Member
Jan 20, 2017
423
1,000
*✍TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI*
_ KWA MWANAMKE ALIYEFUNDWA SHURTI SHUKA LIONGEE KITANDANI....,SIO WAJITANDIKIA TU KITANDA KAMA MSUNGO HAPANA......._ *TUANGALIE ZILE SHUKA ZENYE MAANA KUNA ZENYE MAANA NA NYINGINE NI SHUKA TU KAMA PAMBO HAZINA MAANA YOYOTE*

*✍TUANZE NA SHUKA NYEUPE AU LA CREAM*
_Shuka hili maana yake ni kwamba mume wangu leo nimejiandaa vya kutosha.......nimekamilika kila idara wewe tu uje mpenzi ujilie vyako......yaani ukiweka hili haswa hii siku ya shughuli uwanjani._

*✍SHUK JEKUNDU* _Mume wangu niko tayari kukupa mambo lakini tukae tuongee kwanza kwani mwenzako hali si shwari Leo......Niko kwenye siku za hatari......wekundu wa msimbazi wako uwanjani kwa sasa......shuka hili tumia siku za hatari._

*✍SHUKA JEUSI AU LA RANGI YA UDONGO*
_Mume wangu leo lisijikii kabisa........tulale tu nimechoka sana leo tusifanye kabisa_

*✍SHUKA LA KIJANI,BLUE BAHAR AU GREEN APPLE AU BLUE*
_Mume wangu niko radhi najisikia hamu leo tujiachie baby tena niko kwenye siku nzuri za kupata ujauzito......baby leo mechi ieleweke kwani tukicheza kwenye sita kwa sita vizuri leo nitapata ujauzito._

*✍SHUKA LA PINK AU ORANGE* . _Mume wangu sijisikiii,naumwa leo tusifanye kabisa naumwa mpenzi tukumbatiane tu_ . *✍SHUKA LA NJANO*
_Mume wangu umenikosea........Nina hasira Leo siko sawa........nitake radhi yaishe tuendelee kuenjoy penzi letu._
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣ *✍SHUKA LA ZAMBARAU*
_Mume wangu naomba unisamehe najuta kwakosa nlilokufanyia....._

*✍SHUKA MCHANGANYIKO* _Ranginyingi yaani rangi zaidi ya tatu zikiwa kwenye shuka moja._
_Mume wangu leo naomba tufanyiane USAFi.......hapo ni siku unayoona kichaka chahitaji jambia anti zangu cjui tumeelewana....._
_Tutazidi kueleweshana kadri tutavyojaaliwa kwaleo tuishie hapa._

*✍KUMBUKA*
_Si shuka zote zina maana.....waweza weka tu ukiwa huna maana yoyote,ila kwa wadada waliofundwa,ni vema kufanya mambo yao tofauti na wasungo,pia waweza mfunda mumeo ili ukimwekea shuka_ _Fulani isimlazimu mazungumzo basi yawe ni mahojiano na_ _utekelezaji tu wa kile shuka inachosema._
 

gollocko

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
2,950
2,000
Kulala kwenye shuka jeusi sasa, au jekundu ka kwa mganga wa kienyeji
 

NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
6,133
2,000
Mume wangu anapenda shuka nyeupe Hatari,kwenye hili haelewi kabisa,hata utandike shuka ya rangi atalalia ila unamuhisi haipendi..
 

Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,825
2,000
Hii haifai kwa matumizi enzi hizi za magu life ni stress tupu ntaanzaje kung'amua rangi ya shuka na implication yake?!?!?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom