Nifanyaje ili kumpata huyu demu

Chimoto

JF-Expert Member
May 30, 2017
293
122
Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.
 
tongoza demu mwingine halaf nenda kamtambulishe kwake mwenyewe atakukubali au ukiwa nae jifanye unamsifia mwanamke wako yeyote
Daah! hayo yte nimefanya naona kama ndo nimezid kumvuruga kabisa
 
tongoza demu mwingine halaf nenda kamtambulishe kwake mwenyewe atakukubali au ukiwa nae jifanye unamsifia mwanamke wako yeyote
Daah! hayo yte nimefanya naona kama ndo nimezid kumvuruga kabisa
 
Hujamuuliza sababu ya Kukukataa?

Kama bado, kamuulize alafu uje tukupe mbinu.
 
20? No wonder bado una huo muda aisee. Wacha nitafute mchango wa haruasi hapa.....wengine tumeshaanza kuwajibika kijamii zaidi.
 
Yaani tatizo mkioneshwa chemistry between your friendship automatically mnajua kuna mapenzi

ndo tunapo feli wanaume..sio kila mdada mna click nae basi anawaza mapenz..wanawake hupenda kusikilizwa

kama you are a good listener utakua shost ake...waachie mapenz wenzako ndo wabokoe mfereji tuu ...
 
miaka 20 maliza kwanza shule hata hela utakuwa huna na unakaa kwenu
tafuta mwanafunzi wa secondary ndo watakufaa kwa age yako
 
Back
Top Bottom