Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,202
- 2,035
Kuna katabia huwa sikipendi kwa hawa viumbe wanawake Especially mabinti. Yani sipendi hii tabia,
Ni hivi unakuta binti umemzidi umri sawa Lakini anatembea watu wakubwa zaidi yako kiumri alafu akikuona anakupa shikamoo ya uoga. Binti mdogo anatembea na wababa alafu anakuamkia wewe kijana tena kwa wasiwasi hii imekaje wadau..
Nawasilisha