Ni nini faida za kupiga Chabo

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Ni nini faida ya kupiga chabo ? Kusingekuwepo na watu wanaopiga chabo kama kusingekuwa na faida ,lazima kutakuwa na faida ,jamani msiwe wachoyo hebu tuelezeeni ,inasemwa kuwa wazaramo na wandengereko ni nambari one kwa chabo !
 
Mechi ya Simba na Yanga waona raha kuiangalia Uwanja wa taifa (in person) au kwenye Luninga (live)?
 
:D Mkuu Mwiba umeniacha hoi, sasa sijui uliweka thread kutokana na avatar yako au ulitafuta avatar kutokana na thread yako !!!? Anyway, siku hizi kuna kamera kwenye simu, kwa hiyo faida mojawapo ya kupiga chabo ni pamoja na kuchukua picha mbili tatu hivi then unaenda kuziuza kule kwenye magazeti ya udaku, bei ya picha itategemea umaarufu wa aliyepigwa picha/chabo. However mimi huwa sipigi chabo, msije mkawa mmeniquote vibaya !!
 
Ni nini faida ya kupiga chabo ? Kusingekuwepo na watu wanaopiga chabo kama kusingekuwa na faida ,lazima kutakuwa na faida ,jamani msiwe wachoyo hebu tuelezeeni ,inasemwa kuwa wazaramo na wandengereko ni nambari one kwa chabo !

...kama kunusa ugolo tu, hakuna faida yeyote zaidi ya kupiga chafya!
 
its part of the growing up process,unajifunza unknown technics,as you grow this habit fizzles out-trust me chabo makes your hair stand
 
HAhahaha umenikumbusha mbali sana ....Tukiwa Hostel 4, kuna jamaa alikuwa anapenda chbo ile mbaya! Alikuwa akiona una mzigo anakuomba tafadhali naomba sana nipige chabo mkiwa kwenye majambozi...kuna siku moja alimpiga chambo rafiki yake, sasa jamaa akaamua kulamba tiGo, mpiga chabo nje alishindwa vulimia akasema kwa sauti wewe Hussein acha ujinga......almost aaunguke....
 
Mwiba,
kupiga chabo ni ugonjwa wa kisaikolojia kama magonjwa mengine. uko kwenye fungu la sexual daiversions. wapiga chabo wakubwa hawawezi mpaka waanzie kwenye chabo, hufikia mpaka kulipia pesa gesti za uswahilini na kupata chabo. inapobidi, basi hata kumchungulia tuu mkewe anapovua kwenda kuoga.

wapiga chabo wakuu ni wazanzibari. hujulikana kwa jina maarufu la makozi men.
Kwa sasa niko hapa Pretoria, kenye mtaa maarufu wa Proterius Street, kuna la mambo ya kukubwa. ukiwa huko dukani unalipia rand 10,unaingia kwenye show inaitwa 'peeping tom'. Ni kijichumba cha giza, unachungulia kwenye viundu kama vya ufunguo, upande a pili, utaona watu live, wanafanya mambo.
Tatizo, hiyo rand 10 unayolipia ni show ya dakika 2. kufunga kufungua dakika mbili zimeisha huku gemu ndio kwanza linakolea, unajikuta unaongeza dakika mbili tena ili uone mpaka mwisho wa mchezo, nayo itaisha gemu halijaisha, ndipo nikashtukia hiyo ndiyo deal yenyewe, gemuhaliishi, unabaki kushangaa. nashukuru sio mgonjwa vinginevyo ningefilisika.
Nakumbuka ujana mitaa ya ilala, unachukua demu na kuwaambia washikaji waje kupiga chabo ili kuwaonyesha ulivyo bingwa.Kwa vile unajua unaangaliwa, basi ndio unafanya kwa masifa. nadhani hata uchafu wa kutaka tigo unaanzia kwenye kuiga na kujifanya shujaa.
hata wale waangaliaji sana wa porno, pia wanamatatizo bila kujijua. cha muhimu baada ya kujua ni tatizo njia ni kujiepusha.
 
...astaghafirullah, hebu tutake radhi yakhe!

...:D mgonjwa haulizwi uji!...

...:D utajiepushaje 'addiction' ya ukozimeni ilhali damu bado inakuchemka?
 
Ok, nawataka radhi Wazanzibari maana hakuna research iliyofanywa. Nimesoma chuo na baadhi yao, ndio walikuwa vionozi wa mchezo huo. Nimekaa mji mkongwe. yale majumba karibu yote, yanavitundu maalumu darini kwa ajili ya makozimem.Mtindo wa wanaume kudai huduma ya tigo, pia umeanzia zenj na kusambaa tanga hadi dar, sasa ni karibu tanzania mzima.

Chabo, nimepiga, bangi nimevuta, na sexual derviasion nyingi tuu nimefanya kwenye ujana, nashukuru, sijanasa popote ndio maana nashauri, jaribu ujue tuu. kama huna ugonjwa huo, utaepuka.
 
Chabo ndio nini kwanza? maana sijakupata mwiba
Angalia avatar ya mwiba vizuri.Hiyo ndiyo chabo mwanangu.Chabo ni nzuri unaweza ukamaliza mambo yote,the only thing you need to be imaginative.ukitoka hapo mwepesiii.
 
Back
Top Bottom