kumteme
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 282
- 161
Wakuu kumekuwa na tabia ya hawa madem zetu kuomba omba hela oo mara hela ya kusuka ooo mara hela ya nguo hivi nyie dada zetu mnao omba vipi hamna wazazi wenu ama ndio maana tuna hit and run sababu ya kuombwa ombwa hela kila kukicha mapenzi sio pesa dada zangu mm naomba mbadilike maana mmezidi samahani kama nimewakosea