Umekataa kunilelea watoto wangu hivi unadhani nitakupenda kweli?

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Hivi wanawake mnaokataa kuishi na watoto wa mwanaume mnajielewa kweli nyie
Hivi unategemea nitakupenda na kukunyenyekea wakati hutaki kuishi na wanangu. Endelea kujidanganya tu
Mrejesho
Jf hakuna wanawake wa kuoa kwa maoni niliyo yasoma
 
Hivi wanawake munaokataa kuishi na watoto wa mwanaume mnajielewa kweli nyie hivi unategemea nitakupenda na kukunyenyekea wakati utaki kuishi na wanangu endelea kujidanganya tu
Kwanini usiishi na mzazi mwenzio muwalee watoto wenu kwa pamoja, ujinga wako ndio utakao sababisha watoto wateseke, alafu muache ubinafsi wewe ungekuta huyo dada anawatoto ungekubali kuwalea? Mfyuuuuu
Ukijua kuzaa ujue na kulea sio uwe hodari wa kupachika mimba dada za watu utadhan upo kwenye mashindano.
 
Hivi wanawake munaokataa kuishi na watoto wa mwanaume mnajielewa kweli nyie hivi unategemea nitakupenda na kukunyenyekea wakati utaki kuishi na wanangu endelea kujidanganya tu
Katika hali yeyote mtoto ni vyema akae na mamayake mzazi.
Askari muoga Acha watoto wakae na mama yao mzazi.
Labda tu kama mama yao mzazi hayupo hao, hapo wewe waweza kuwachukua watoto na kuishinao na mwanamke ulie nae Kwasasa lazima akubali kuwalea.
 
Back
Top Bottom