Inahitaji moyo kuchepuka na mke au demu wa mtu mnaeishi nae Nyumba moja.

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,407
2,000
Habari wana bodi,

Nimara chache sana kwangu kuja kutupia kathread humu,huwa nakuja mara baada yakuona yamenifika hapaaaa!

Bila kupoteza muda nikwamba,nilitokea kuanzisha mahusiano na dem flan hivi ambae tunaishi Nyumba moja,yy anaishi na basha wake(Bodaboda)hawajaoana.

Mwanzoni nilichukulia poa coz nilijiona mjanja mimi kwakumega tunda la jamaa
Kipindi hicho mpaka leo bado nipo single.
Nikaona nimepata sehem yakujipozea tu kwamuda.

Kumbe dem kitandan yupo vzr sn,pia ananihudumia kama mumewe mpaka nikajikuta nanogewa bhana,mara nyingi jamaa yake huwa anakesha ucku na mimi huwa ndo napumzika mara baada ya mihangaiko.So huwa najinafasi.

Wakuu nimenogewa na utam wa huyu dem coz amekamilika haswaa.
Sasa kimbembe ni pale ninapokuwa nae magetoni ghafla jamaa anarudi,kiufupi huwa najisikia vibaya sana(Wivu,).

Sasa nimekuwa nanunanuna tu bila mpango utasema me ndo naibiwa.Yaan nikisikia wapo kimya room kwao basi me huku roho juu dah.Nateseka.Hivi nafikiria kutafuta dem wangu ili nimpige chini.

Kama hujawahi jaribu kuwa na mahusiano kama haya basi kabla hujaingia jipime kwanza kama una moyo.
Kama ni mwenzangu namimi USIJARIBU.Sorry kwa Uzi mrefu .
 

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,120
2,000
Habari wana bodi,


Sasa kimbembe ni pale ninapokuwa nae magetoni ghafla jamaa anarudi,kiufupi huwa najisikia vibaya sana(Wivu,).

Sasa nimekuwa nanunanuna tu bila mpango utasema me ndo naibiwa.Yaan nikisikia wapo kimya room kwao basi me huku roho juu dah.Nateseka.Hivi nafikiria kutafuta dem wangu ili nimpige chini.

.
Mkuu kama sio chai maharage ya mchana,

basi jipime na ujitathmini kama bado una sifa za kuitwa mwanaume halisi
maana siku hizi malalamiko ya wenzetu upande wa pili yamezid
hasa kuhusu baadhi ya watu kuwa na tabia za upande wa pili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom