Hali ya mahusiano yako ipo vipi huko?

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,803
9,291
kama upo kwenye mahusiano ebu tuelezane hali ya mausiano yako na mpenzi wako huko ipo vipi.
kila siku vituko au mapenzi mubashara, unahisi upendo umepungua au umeongezeka!
huku kwangu mimi ni bachelor... sina experience yoyote kwaiyo niwaangalia mnavyotiririka tu!
 
Huo sasa umbea....hali ya mahusiano yetu wewe waitakia nini?
kwani mahusiano kitu cha siri basii watu wasingekuwa wanaowaa tunawaona ....kwa kuwamunaowa nasisi tunashiriki hakuna siri tena hapo mutakachoenda kukifanya usiku tunakijuwa kukicha au tukikuona unatumbo kubwa tunakujua miezi iliyopitaa unefanya nini ......sasa tunapouliza huko vip tunataka tujuee lengo linapatikana au ndiokibashite bashite .
 
Mnaweza mkawa mnazinguana kila kukicha, mkaja kuyazoea na kuchukuliana...haina mbaya! Mkipata muda wa kujadili ya msingi na kutekeleza na kwa mda mnawekana sawa... Maisha yanaenda kiubabeubabe.. Bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua
 
Sasa Mkuu utamu wa ngoma si uingie ucheze..kumbe uko bachelor halafu unataka kujua ya walio kwenye mahusiano..au unapiga ndondo Mkuu?
 
mapenzi ni mazuri tu muhimu upendo, kuchukuliana na kusameheana na kupunguza malawama ikibidi ... mapenzi namna unavyotaka yawe utaenjoy na usiige mtu kuwa wewe enjoy sana ... japo kugombana kupo sana lazima maparurane tu muhimu muwe mnaweza kupanga na kupangua pamoja basi.... na usilete uboss , uproffessional wako kwenye mahusiano.. lete pesa ndiyo chachandu ya mahusiano
 
Back
Top Bottom