Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,034
- 7,590
1. Ni nani aliwadanganya eti ukioa mwanamke msomi mwenye pesa ndo kufanikiwa kimaisha?
2. Ni nani aliwaambia mkawategemee wanawake wawasaidie kuhimu majukumu ya familia?
3. Ni nani aliwadanganya wanawake wameumbwa kuja kuchukua nafasi zenu?
4. Ni nani aliwaambia mwanaume anahitaji pesa ya mwanamke kuhimu familia yake?
5. Ni nani aliwaambia uanamke ni kusoma na kumiliki Mali?
6. Nani aliwadanganya maisha ni vitu?
Ona sasa yanayowatokea:
1. Maana ya familia imewapita mbali na familia nyingi zimeshikwa na utandu wa buibui. Hazijiwezi
2. Mna nyumba na magari lakini familia zenu hazina amani
3. Familia zinapotea kisa mnaishi mnashindana na kila mmoja anataka mali. Ukienda kusoma masters ukirudi mke naye anataka akasome iwe iwavyo, na ni lazima aende.
4. Mmepoteza kujiamini na mmepoteza heshima yenu ya uanamme mnabaki kutawaliwa kifikra.
5. Wasomi ndo mnaongoza kwa kutokujiamini na kukosa misimamo, mmegeuka mabwege.
6. Mnafikiri familia bora ni mali kumbe ni amani, hekima na utulivu wa kifikra