Habari ya asubuhi wana Familia!
Leo na mimi nimeona nije na hii mada ambayo siku za hivi karibuni imekuwa gumzo sana hapa JF.(suala la vibamia na Mabwawa)
Nitaongea kwa experience,kwanza nitoe angalizo sijisifii kwa kusema kuwa naongea kwa uzoefu maana katika familia yetu hii wengine wanadhani mwanamke kutembea na wanaune zaidi ya wanne kabla ya ndoa ni mkosi.
(kwa mnao amini hivyo poleni sana na mtanisamehe)
Katika pita pita zangu hadi nilipofikia kuolewa na kuwa mama wa watoto wawili nilibahatika kukutana wa wanaume wa aina zote..nikimaanisha wenye vibamia na wenye mkuyati.
Mada yangu napenda ijikite katika hao wanaume japo likija sula la mabwawa nitaongelea nikiconsider namna nilivyo elezea kwa strategy hiyo ya wanaume.
Iko hivi na ninaamiini linapokuja suala la kuridhishana ktk 6×6 haijalishi una kibamia au mkuyati au goli moja au mbili,ila ni namna unavyotumi ufundi wako na jinsi ulivyomsoma mwenzio.
Unaweza kuwa na mkuyati lkni we ukipanda dakika moja tu umemwaga kila kitu na huamki tena hadi baada ya nusu saa(hapo mkuyati wako haujakusaidia kitu).
Vile vile unaweza kuwa na mkuyati lakini unaendesha kama vile kipofu,kwenye tuta hupunguzi mwendo,kwenye kona hukunjii upandwe wako yaani we unakwenda tu kama vile unatwanga Mahindi (mambo haya yanahitaji ufundi, kusomana na kujua wapi nahitajika gia namba moja wapi tatu na wapi niongeze na kupunguza mwendo).
Kwa mantiki hiyo sasa hata uwe na mkuyati ukubwa kama rula ya darasani (sijui inakuwaga nchi ngapi ile) sahau kumridhiska mwanke na utaishia kujisifu tu kuwa mimi kiboka ninalast saa nzima kwenye tendo,,oohh naeza piga bao nne kwa mpigo lkn ukweli mi kwamba umecheza kwa saa nzima na umefunga goli nne kumbe ulikuwa unacheza peke yako na wala golini hakukuwa na Golikipa
(It takes two to tangle)
Kwa kaka zangu wa vibamia nao pia ni ufundi tu na kujitambua,ukishajua we unakibamia cha kwanza hakikisha unacheza kwa mda mrefu na kuwa makini sana kuendana na ngoma ya mwenzio.unaeza shangaa pamoja na kibamia chako mwenizo akadaka hata mara mbili(kuna raha zaidi ya hiyo kwa mwanamke?)
Kwa sababu hizi mechi za 6×6 raha yake goli lidakwe.Sasa we kaa na kibamia chako alafu hutaki kujifunza au kukubali ukweli.Utaishia kuwa unapiga push up mbili basi kila siku.
Lakini pia ni vizuri sana kutambua ni position gani iko poa kwa maumbile ya wahusika,kwa mfano Mwanake akiwa juu haimaaanishi kuwa ye ndo mwanaume ila ni nafasi pia ya kuweza kufika kule wote mnakokutaka.
Kikubwa kingine pia ni lazima mwanamke wako akutambue wewe ni mwanaume wa aina gani (kibamia au mkuyati,maji mara moja au mara nne) hii itamsaidia na yeye kwanza kujitune na pia kushiriki katika kuhakikisha anadaka na wewe unafunga yaani ni win win situation sasa pale wanawake wenzangu wanapokaa tu kusubiri watengenezewe mazingira ya kufika wakati haiwezekani, utaishia kulalamika tu kwamba siridhishwi.
Kama mmependana kwa dhati hakuna sababu ya kuachana kwa ajili ya kibamia au mkuyati, goli moja au nne!vyote mnaweza kuridhishana au la, inategemea ni namna gani mnajitambua na mko tayari kuridhisha..Mungu hakukosea kuumba alijua yote yanawezekana.
Kwa wanawake wenzangu wale wenye mabwawa (kama wanavyoita wenyewe kina me)na wale ambao huwa wako kama magogo ni jukuma la wahusika wote kuongelea hilo hakuna sababu ya kufa kisabuni, wewe mwanaume mwanamke wako anabwawa kaa ongea nae na mtafute solution
njia moja wapo ni kuhakikisha kuwa mara zote mnakuwa na vitaulo vile soft na vidogodogo pembeni yenu kila goli likiingia,toka pembeni pangusa ikibidi kwa utaratibu kunja iko kitaulo vizuri kiinginze kwa mwenzio then ukitoe(nadhani nimeeleweka hapa)na kitanyonya bwawa lote.(hapa niwaibie siri wanaume hii njia ya kitaulo wanawake huwa wanaitumia ili wasitambulike kuwa wamechepuka maana kitaulo kikiingia chote kikitoka kama una mwaka vile hujaguswa).
Then baada ya hapo mnaendelea,ni kitendo cha dkk moja tu,hutakiwi kuwa na haraka ktka suala hili unless mmeviziana mmoja katumwa dukani. Hapa utakuta eti mwanamume anafunga goli hata tatu na anaendelea(kwa wale wasiotumia mipira maana sheria za mipira goli moja mpira mmoja) basi we mwananume goli moja kausha na endelea au hata wewe mwenyewe mdada mpenzi wako kafunga goli jikaushe kwanza then endeleeni kwa raha zenu!
(Mechi hizi huwa nzuri sana asikwambie mtu kama nyote mnajitambua na mnajua nini mnataka)Na wananwake wasio jituma ni kuongea tu na kuelezan ni nini mwanaume unataka na wakati gani na ikibidi mwambie,kwa mfano mwambie ktika,binuka ,njoo juu n.k.
Sasa ndugu zangu tusiachane kwa mapungufu aliyotupa Mungu.Mungu hakupi usichoweza kukihandle. KILA LA HERI KTK MAHUSIANO YENU.m