Biblia inasemaje kuhusu michepuko?

Kwenye hiyo audio niliyoisikiliza mkuu lara 1 hiyo sauti niliyoisikiliza ni yako?

Nauliza tu mkuu
 
Neno zuri lkn imekaa km stori hivi utafikiri Lovenesslove wa clouds fm vile but big up.
 
Una sauti nzuri, napenda sauti nzito . Ujumbe mzuri pia
 
Binadamu sisi ni WAZITO jamaniii, hasa linapokuja swala la kumsamehe Mwenza alichepuka au kuchepukiwa kisha akaja na madhara kama mimba au ugonjwa..., Amakweli hapo lazima Neema ya Mwenyezi Mungu ihitajike sana la sivyo itabaki stori tu au Majanga.

Shukrani za dhati zimwendee Lara 1 mtoa Mada na amenigusa sana. TUBADILIKE JAMANIII MICHEPUKO SIO DILI!!!

Ahsanteni Sana na Mungu Awabariki na Kuwatia Nguvu ya kuyashinda hayo Majaribu. Amina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom