Ananizungusha kwenye suala la kunipa mchezo...Je, hii ni sawa..?

Alfred88

Senior Member
Jul 25, 2016
122
225
Habari wana JF..
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tayari alishazaa mtoto mmoja na mwanaume mwingine (nilimkuta tayari kasha zaa) .

Nikamtongoza akakubari, nikampenda sana naye alinijibu the same kuwa ananipenda pia. Lakini kila nilipotaka sex alikuwa akinipa muda, Mfano naweza mnikamuomba mwezi wa kwanza akanijibu nisubilie mpaka mwezi wa nne ktk likizo.

Vivyo hivyo inapofika mwezi wa nne atanambia mwezi wa 6. Ikawa kama ndio ratiba ya kunipa likizo. Nikimuuliza sababu ananiambia yuko mbali, nikimwambia nimtumie nauli ananiambia labda nimtumie hela ya kula tu na sio nauli sababu hawezi kuja. Nimeishindwa kumvumilia mpaka sasa ni miaka miwili na miezi kadhaa bado majibu ni yale yale.

Naombeni mnishauli labda nifanyaje?
Hakuna kitu atakitaka chenye nauwezo nacho nikashindwa kumtimizia.
Tatizo linakuja kwenye sex.......
 

Alfred88

Senior Member
Jul 25, 2016
122
225
Si kweli....zaidi ya wasichana saba halafu unakuja kuomba ushauri kwa single mother anayekuzidi akili kwa zaidi ya miaka miwili??? Hao saba ni mazezeta???
Sio zezeta, ila nilitokea tu kumkubali huyu mother sasa anachonifanyia ndo naona kama uonevu vile
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom