Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,025
Wapenzi wanapokuwa faragha ya Hotelini wanafurahia Zaidi kitendo cha mapenzi kuliko wanapokuwa nyumbani. Kwa sababu zifuatazo.
Vyumba vya hotel vimeandaliwa kwa mpangilio wa kuvutia kuliko nyumbani hivyo kufanya wapenzi watulize akili kwenye kitendo Zaidi. Vitanda vikubwa, mishumaa, rangi za kuvutia, n.k
Kitendo cha wapenzi kuwa mbali na mazingira ya nyumbani, mfano watoto, msururu wa ndugu, majirani, matatizo, kunafanya wapenzi watulize akili Zaidi kwenye kitendo na wapenzi wao. Hii ni Zaidi kwa wanawake ambao hukutwa na shughuli za nyumbani zaidi kuliko wanaume.
Lakini pia si vibaya kuandaa mazingira kama ya Hotel chumbani kwako, kwa kuongeza mapambo kama maua, mishumaa na vitu vitavyoongeza ngenye kwa wapenzi.
Hata kubadilisha mandhali ya kufanya kitendo pia kunasaidia, mfano sebuleni, jikoni n.k