Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,025
Habari wapendwa, ni matumaini yangu mnaendeleza libeneke la weekend.
Mara nyingi ndoa zinapovunjika katika jamii yetu, anayelaumiwa zaidi huwa ni mwanamke, pasipo kuangalia upande wa pili, hata kama wote wawili wana makosa ya kuvunja ndoa.
"Nilikutana na 'Mr Married man' katika safari ya kikazi. Jamaa alikuwa Mentor wangu na alinisaidia sana kikazi. Alikuwa akinifurahia kila nilipofanya vizuri na kunifanya nijisikie mchapakazi hodari, na kila nikiwa nae nilikuwa najisikia safe. Kazini hakuna mtu aliyejua kuwa ni mume wa mtu kwa sababu hakuvaa wedding ring.
Alikuwa ni Alpha male, smart, confidence and sure of himself. Mahusiano yetu yakaongezeka kutoka mentor, kuwa urafiki na mwisho kuwa wapenzi.
Hakuniambia kama ameoa mpaka tulivyo kiss for the first time. Nilijisikia vibaya na kumlaumu kwa nini hakuniambia, na ndipo alipoanza kuniambia jinsi ambavyo hana mahusiano mazuri na mkewe ambae huwa wanagombana mara kwa mara. Nilimuonea huruma na kuamua kuendelea na mahusiano nae, just wanted to take care of him. Tatizo lilikuja pale ambapo tulishindwa kujiachia vizuri kama couple wa kawaida. Anifahamisha kwa rafiki zake lakini hakuniruhusu nimtambulishe kwa rafiki zangu.
Mahusiano yetu yalivunjika ghafla baada ya kugundua kuwa vitu vyote alivyomlaumu mkewe kuharibu mahusiano ya ndoa, yeye pia alikuwa anavifanya.
He was verbally, mentally and emotionally abusive towards me. Na nilipojaribu kuongea nae alikuwa mkali sana mpaka kutaka kunipiga haswa akilewa. Nilimvumilia kwa muda lakini yakanishinda, na nikaachane nae. Lakini alikuja kwangu huku akilia na kuomba msamaha turudiane, nikakubali. Only for him to pick up a fight with me a week later and said we were no longer together.
I realized his ego was bruised when I told him I didn't want to be with him. so he made up with me just to break up so he could have the last word.
Alijaribu pia kurudiana na mkewe lakini mkewe akakataa."
ANGALIZO: Kuna quotation marks mwanzo na mwisho sababu msimuliaji pamoja na wengine wawili walikuwa na mahusiano ya kweli ya kimapenzi na waume za watu kwa sababu mbalimbali zikiwemo kutojua ukweli wa status ya mwanaume, kutotaka serious relationship with single man, na pia kwa nia nzuri ya urafiki wa kawaida na mume wa mtu lakini wakaishia kuwa wapenzi.
Katika mahusiano hayo, iligundulika kuwa wanaume nao wana sababu mbalimbali, kuna waliofurahia attention ya wanawake wawili, wengine, 'They just felt Cool and SexY' to have a side chick.
Lakini mara nyingi mwisho wa mahusiano haya huwa sio mzuri sana kwa upande mmoja. Tuwe makini tusiumizwe.
Harper's Bazaar.