Nimeota ndoto nzuri imewahi kuisha Roho imeniuma sana.

Wild sniper

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
4,387
8,584
Leo usiku aisee nimeota ndoto moja nzuri sana, Yani nimeota nipo sehemu siijui lakini inaonyesha ni ofisi sasa mle ndani tulikua watu wanne, Mimi na boss wote wa kiume halafu kuna wakike wawili pia.

Sasa mimi nilikua nimekaa nao wale wadada ni warembo vibaya mno yani. Mara ghafla Boss akatoka ofisini kwake akamchukua mmoja akawa anamshika shika makalio halafu akamvutia ofisini kwake.

Sasa tukabaki wawili nikasikia boss ananiambia umalizie kazi huko, yule dada akaniambia acha ujinga wewe kaka wao wanapata utamu huko wewe ukafanye kazi kama vipi na sisi tufanye.

Basi tukaanza pale romance sasa ile nachomeka tu nikastuka alarm inaita nikamaindi kinoma yani halafu kuangalia simu alarm kumbe inaita mara ya pili.

Sasa nashangaa mbona ndoto mbaya za kutisha zinakaa mda mrefu sana halafu hizi nzuri zinakata haraka?.
 
Mi leo nimeota napiga mtu. Nimekuja kushtuka baada sa simu kuita kuwa nimechelewa kazini. Roho imeniuma sana kukatishwa ka ndoto kangu.
 
Mkuu hiyo sio ndoto mzuri, maana hapo ulikuwa unafanya mapenzi na jini au pepo. Tafuta mtumishi wa Mungu akuombee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom