ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,301
Amani ya Bwana iwe nanyi nyote.
Tafadhali nisaidieni hili, Mara nyingi sana au zote mwanamke akimfumania mume au mpenzi wake na mwanamke mwingine huwa hapatoshi. Watapigana,watakashifiana na hata kuuana wanaweza.
Kinachonisumbua ni kimoja tu,kwa nini asimpige yule mwanamume.? Unampiga mdada wa watu wakati hata hakujua kama huyo ni mumeo.Au mnawaogopa wanaume?