Pillow talk: Nafasi ya elimu katika mapenzi

Pillow talk: Nafasi ya elimu katika mapenzi

Last edited by a moderator:
Elimu inashika namba mbili baada ya pesa kushika namba 1.
 
Yaah! Elimu ina,umuhimu sana Ichana.
Kuna elimu za aina nyingi kidogo labda unibainishie elimu ya aina ipi..

Tuongelee elimu darasani kwanza kabla ya ile ya 6*6
 
Elimu ya darasani ina impact sana kwenye mapenzi

kuanzia mwanzo wa mahusiano,

Kiaje unaweza ukatueleza madhara yake

Na je kama elimu ya darasa Sina ila sifa nyingine like upendo ....uaminifu.uvumilivu 6*6 naimudu
Inakuweje
 
Kiaje unaweza ukatueleza madhara yake

Na je kama elimu ya darasa Sina ila sifa nyingine like upendo ....uaminifu.uvumilivu 6*6 naimudu
Inakuweje

Unajua Elimu ya darasa inajenga maarifa,
hasa ya kumaster mazingira ya unapoishi na unapoendeshea hayo mapenzi yako.
Kiukweli kimjini mjini elimu ni muhimu
hata ukiwa mwaminifu still unahitaji maarifa ya kufanya mambo,

Upendo na uaminifu unaathiriwa sana na hali ya maisha, haswa ukute mmoja kwenye mahusiano hayo ana kaelimu na mwingine hana hapo lazma kuwe na classes,
uaminifu bila umoja ni kazi sana.

Madhara yake yatatofautiana na mazingira halisi..

Swala la kumudu upendo na uaminifu linategemea sana upande wa pili...
 
Back
Top Bottom