1ST YEAR
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe...
Utawasikia wanawake walisema wanaume wote ni sawa wakati mwingine husema Wanaume wote mwalimu wao mmoja.
Kwanini Mnaamini hivyo?
Wanawake naombeni jibu
Mtoto wa kike siku zote rafiki yake wa karibu ni baba yake mzazi, hakuna maumivu makali kama kuona binti yako analelewa kwenye himaya ya mtu mwingi na kukosa mapenzi ya dhati na upendo timilifu na...
Jamani kuna mdada nimepanga nae nyumba moja kama siku mbili tatu zilizopita ,
Huyo mdada alinitongoza na akaniambia ananipenda sana na akanielezea kuhusu maisha yake nami niksmuelezea japo...
Habari zenu.....
Nahitaji marafiki wa kuchart,nina stress mno,nahisi kwa kufanya hivyo kutanipunguzia mawazo...
Mimi ni msichana nina 25 yrs...naishi Dar es salaam...
Jinsia yeyote sibagui....njoo...
Mimi mwanaume mwenye uwezo wa kuzaa haraka haraka, na inatokea kila nikiweka dushe mimba haraka, huwa najiona kama vile wanawake wananitegeshea vile.
Haya tuyaache, sasa wakuu kijitabia hiki...
Hi,
I'm up looking for a life partner who will be my future wife. I’m 27 years old guy from Dar es Salaam looking for someone who is between 20-25 years.
She must be christian, with college...
Wakuu toka niamue kuishi single naishi kwa amani sana.Sasa hapa juzi kati kuna msichana aliyekuwa ananipenda kipindi hicho watoto watoto ila mm nlikua simuelewi.Basi miaka ikapita...
Amani kwenu wadau
Leo nawaletea utafiti wa kienyeji kwa wanaume na wanawake kama mnatafuta wapenzi kabla hata ya kuwavua nguo utakuwa ushajua ukubwa na udogo wa sehemu zake za siri
1.kwa wanaume...
Nina miaka 27 natarajia kuoa tar 2 julai mwaka huu, lkn kwa mazoea nilokua sa ivi siwez pitisha siku 2 bila kugegeda..yaan hata yeye mke mtarajiwa asipokua karbu hua nalazmika kutafta mchepuko...
Huyu dada toka mwaka jana mwezi wa saba namfutalia alikuwa ananizungusha tu. Nikimwambia aje home anakwepa na siku akija anakuja na rafiki yake. Nikawa nashindwa kuelewa anakujaje na rafiki yake...
Am a man aged 32, single and a civil servant. Education: degree holder.Tribe: sukuma. Color: black but not typical black. Height: neither short nor tall.
Mwanamke anaehitajika: Mrefu wa wastani...
Habari za leo JF,
Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha.
Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji
Ninafanya kazi kwenye moja ya...
Wakuu wa jukwaa amani na utulivu viwe juu yenu.
Hii tabia inakera mno! wanaume kuwa kama mabinti.
Kwa mwanaume kuwa na best friend wa kiume ni shughuli kweli kweli.Wanaume wengi wana tabia za...
Kukutana na yule uliyemuacha kwa mbwembwe nyingi akiwa anameremeta "ameshine" mara elfu zaidi ya ulivyokuwa nae(Yaani wewe ni kama ulikuwa unamzeesha tu) Halafu wewe umefwafwanzika...
Habari ya jioni Wakuu,
kuna mada nyingi humu zimeongelea kuhusu wasaidizi wa kazi majumbani ambao wamekuwa wakielezewa kwa mtazamo hasi kwa matukio kama vile kutoka kingono na mabosi wao. Pamoja...
jamani naombeni msaada kwani nna tatizo zito sana ambalo nmeamua kuliweka wazi kwenu,ni kwamba mpaka hapa nilipo nilishaachana na madem,wangu wengi tu,kwa tatizo la kuchelew kufika kileleni yani...
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.