Wakina kaka hii tabia ya kutufananisha na mama zenu mnaona iko poa?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,682
2,000
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
28,021
2,000
hahahahahaahahhahaah, aiseeee!
Ila utambue kuwa wewe sasa umechukua nafasi ya mama yake. Yawezekana mama yake alimlea kwa miaka kadhaa kabla hajakupata wewe, hebu mdekeze, mbebe, mtunze kama mama yake alivyokuwa anamfanyia tokea akiwa mdogo. hahahaha
 
Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
32,368
2,000
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.
Mama zetu ndiyo wanawake wa kwanza kwetu tabia, mionekano ya wanawake tumeanza kuiona kwao.

Na wengine huwa tunaenda mbali kwa kutafuta mke anayefanania na mama japo kiduchu maana tunaamini (atanilea)kuishi vyema.
 
Puyet Babel

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
3,593
2,000
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.
Teyari umeolewa?
But wanaume wengi tunajua hakuna mwanamke bora zaidi ya mama zetu hivyo huitaji tupate wanawake wanaoendana na mama zetu!
 
Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,389
2,000
Asante Petro haha.
Usijali. Nilikuwa najoke tu Mkuu. Kimsingi, maishani kuna vitu vidogovidogo huwa vinakera. Na vitu hivyo vidogo ndivyo vinavyoumiza zaidi. Una heri unayevisema. Kingine ni kile cha kuchagua mchumba/mke kwa kuangalia kabila. Mara zote huwa nasema na kuamini kuwa tabia ni ya mtu binafsi. Hakuna tabia za kabila Zima.
 
Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,030
2,000
Usijali. Nilikuwa najoke tu Mkuu. Kimsingi, maishani kuna vitu vidogovidogo huwa vinakera. Na vitu hivyo vidogo ndivyo vinavyoumiza zaidi. Una heri unayevisema. Kingine ni kile cha kuchagua mchumba/mke kwa kuangalia kabila. Mara zote huwa nasema na kuamini kuwa tabia ni ya mtu binafsi. Hakuna tabia za kabila Zima.
natamani kuwa zaidi ya mama yako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom