BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,476
- 7,029
Habari ya jioni Wakuu,
kuna mada nyingi humu zimeongelea kuhusu wasaidizi wa kazi majumbani ambao wamekuwa wakielezewa kwa mtazamo hasi kwa matukio kama vile kutoka kingono na mabosi wao. Pamoja na matukio hayo hasi dhidi yao natambua yapo matukio mengine chanya yaani yaliyopelekea wasaidizi hao kupata mafanikio kama vile kujiendeleza kielimu au kuolewa. Je? ilishawahi kukutokea kwako kwamba msaidizi wenu kuoa au kuolewa akiwa kwako au kwenu, ulijisikiaje au utajisikiaje kwa tukio kama hilo.
Naomba kuwasilisha