Malezi bora yanahitaji pande zote mbili

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
Mtoto wa kike siku zote rafiki yake wa karibu ni baba yake mzazi, hakuna maumivu makali kama kuona binti yako analelewa kwenye himaya ya mtu mwingi na kukosa mapenzi ya dhati na upendo timilifu na wewe mwanaume ukiwa hai .

Linapokuja swala la malezi ya watoto inatakiwa kuficha tofauti zetu na kuwapa watoto mapenzi bora na malezi bora bila chuki na kila mmoja kuwa balozi mzuri kwa mtoto.

Dear brothers kulea mtoto sio kumtumia pesa peke yake ,kuna wenye pesa na hawana malezi mazuri na kuna wenye malezi mazuri na hawana pesa team work ya malezi ni bora sana kuliko team work za bar .
41944746ba9ec072b516769369784938.jpg
 
Well said! Huu ujumbe uwafikie deadbeat dads woooootee I mean wale wanajivuna namtunza mtoto wangu. Kuna tofauti Kati ya kutunza na kulea. Wanaume mnakeraaaaaa sana inapokuja kwenye malezi ya mtoto. Utasikia 'kwani hali havai etc ' kula na kuvaa sio malezi pekee malezi tengeneza bond na mtoto wako mbu..i Ni hivi sisi wanawake ni wakupita mtoto ni damu yako!
 
Back
Top Bottom