stellahthatcher
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 168
- 164
Habari za leo JF,
Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha.
Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji
Update: 08.06.2017 saa 1 dakika 10 usiku.
Nawashukuru sana wote ambao mmechukua muda wenu kunitumia PM. Kiukweli jumbe zimekuwa nyingi na naanza sasa kuwajibu baadhi ya members ambao ninaona kwamba tunaweza kuendeleza mawasiliano na possibly akapatikana mmoja ambaye tutaridhiana. Endapo utaona sijajibu ujumbe wako please elewa kwamba sijaradhau na pengine you have been turned down.
Shukrani.

- Ninafanya kazi kwenye moja ya media houses hapa Tanzania
- I am in my late 30's
- Si mweupe kivile wala si mweusi niko hapo in between
- Nahitaji mwanaume mwenye dini yoyote sibagui
- Awe na umri kuanzia kama huo wa kwangu na kuendelea
- Situmii kilevi cha aina yoyote
- Mengine tutaelezana PM