Nahisi nadanganywa

Shekuna

JF-Expert Member
May 5, 2014
597
500
Wakuu toka niamue kuishi single naishi kwa amani sana.Sasa hapa juzi kati kuna msichana aliyekuwa ananipenda kipindi hicho watoto watoto ila mm nlikua simuelewi.Basi miaka ikapita tukapotezana.Juzi kati kanitafuta sana na hatimaye tukaanza mahusiano baada ya kuona mtoto mashaalah.Baada ya muda ikabidi nimuulize kuhusu historia ya mapenzi.Akasema kwamba yeye hadi leo ni bikra na alitoka na wanaume wawil tu na hawakufanya chochote.Baada ya kumbana ndio akataja mwingine wa mwisho ambaye alidumu nae muda mfupi na waliachana kisa jamaa anataka mbunye.Sasa nmejaribu kufatilia nimeona kuna jamaa mwingine pia alikua mtu wake ila hakumtaja.Na inaonekana ananipenda kweli japo mm sitak kuingia mzima mzima mana nahit and run tu.Huyu binti niko nae mbali kwa sasa.Je inawezekana anayosema ni kweli au ananifunga kamba nisepe haraka japo tupo mbali na hatakagi kuzungumzia ishu za sex anajifanya hajui chochote.Msaada tafadhali
 

Vamp

JF-Expert Member
May 9, 2017
403
1,000
Endeleza mchezo wako wa ku hit and run
Mengine usijiulize sana
 

nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
4,790
2,000
amini ni wako peke yako braza....... ukiulizia mwisho utaambiwa kakako kagonga.... hicho kiporo kipashe ukishughulikie......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom