Hivi mwanamke akimtongoza mwanaume anakuwa kapenda kweli au wa kumsaidia majukumu?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,627
2,000
Jamani kuna mdada nimepanga nae nyumba moja kama siku mbili tatu zilizopita ,

Huyo mdada alinitongoza na akaniambia ananipenda sana na akanielezea kuhusu maisha yake nami niksmuelezea japo kifupi.

Sasa baada ya kuanza nae mahusiano aliniambia kwamba kuna mchezo anaucheza kila siku elfu 15 anatakiwa awe anapeleka kwa kijumbe na ameenda mbali zaidi kuniambia mimi ndo tegemeo lake niwe nampatia hiyo pesaa niwe kila siku nampatia....

Sasa bahati mbaya mimi mshahara wangu ni mdogo sana na uwezo wa kutoa 15 kwa siku sina basi baada ya kugundua hivyo kipato changu kidogo ameniomba tuachane kwa maana anaona kama vile namnyima na hanitaki

Lakini kabla ya yote hayo kutokea yeye ndo alinitongozaa na aliniambia ananipenda toka moyoni lakini baada ya kuniona kipato changu cha hakikidhi mahitaji yake kasepaaaa.

Kwa kifupi nimejisikia vibaya sana "ni kwanini nilimkubalia yule mdada awe mpenzi wangu "

Lakini katika yote hayoo

IVI NI KWELI WADADA WANAPENDA KWELI PALE WANAPOTONGOZA WANAUME?
 
Vamp

JF-Expert Member
May 9, 2017
403
1,000
Hilo liwe fundisho kwako:
Usiwe unakubali kutongozwa na mdada.

Mwanaume ndiye anayetongoza na sio vice versa
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,236
2,000
Ndio maisha hayo, tena utafurahia kwa sababu anakuja na roho nyeupe kwako. Jambo moja usimdanganye au kumchezea akili, kuwa mueazi la sivyo utajutia kutokana na kumuumiza.
 
Ulweso

JF-Expert Member
May 24, 2016
17,200
2,000
Jamani kuna mdada nimepanga nae nyumba moja kama siku mbili tatu zilizopita ,

Huyo mdada alinitongoza na akaniambia ananipenda sana na akanielezea kuhusu maisha yake nami niksmuelezea japo kifupi.

Sasa baada ya kuanza nae mahusiano aliniambia kwamba kuna mchezo anaucheza kila siku elfu 15 anatakiwa awe anapeleka kwa kijumbe na ameenda mbali zaidi kuniambia mimi ndo tegemeo lake niwe nampatia hiyo pesaa niwe kila siku nampatia....

Sasa bahati mbaya mimi mshahara wangu ni mdogo sana na uwezo wa kutoa 15 kwa siku sina basi baada ya kugundua hivyo kipato changu kidogo ameniomba tuachane kwa maana anaona kama vile namnyima na hanitaki

Lakini kabla ya yote hayo kutokea yeye ndo alinitongozaa na aliniambia ananipenda toka moyoni lakini baada ya kuniona kipato changu cha hakikidhi mahitaji yake kasepaaaa.

Kwa kifupi nimejisikia vibaya sana "ni kwanini nilimkubalia yule mdada awe mpenzi wangu "

Lakini katika yote hayoo

IVI NI KWELI WADADA WANAPENDA KWELI PALE WANAPOTONGOZA WANAUME?
Ndiyo muachage mnawambiaga wanawake malaya kutongozwa tu mara moja wanakubali ona aibu mwanaume mzima unatupwa kama tiketi ya mbagala ulijua anahela atakuwa anakuhonga
 
Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,596
2,000
Hahaha dah mkuu najuta sana yaani mie mawazo yangu nikajua nimepedwaa kumbe nimepedwa zaidii hahaaa

Pole mkuu,

Hawa akina fulani hata humu JF, waone na kuwasikia tu ivyo hivyo ila upande wa pili wa shilingi huwa hausemwi.

Nawe nyamaza usilie na tuliza moyo wako na akili zako kisha, usonge mbele.

Most of the women judges men from financial perspective, sex capacity and humanity its the last option for them.

But, keep moving forward, with high esteem then you will catch up soon.
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,515
2,000
Jamani kuna mdada nimepanga nae nyumba moja kama siku mbili tatu zilizopita ,

Huyo mdada alinitongoza na akaniambia ananipenda sana na akanielezea kuhusu maisha yake nami niksmuelezea japo kifupi.

Sasa baada ya kuanza nae mahusiano aliniambia kwamba kuna mchezo anaucheza kila siku elfu 15 anatakiwa awe anapeleka kwa kijumbe na ameenda mbali zaidi kuniambia mimi ndo tegemeo lake niwe nampatia hiyo pesaa niwe kila siku nampatia....

Sasa bahati mbaya mimi mshahara wangu ni mdogo sana na uwezo wa kutoa 15 kwa siku sina basi baada ya kugundua hivyo kipato changu kidogo ameniomba tuachane kwa maana anaona kama vile namnyima na hanitaki

Lakini kabla ya yote hayo kutokea yeye ndo alinitongozaa na aliniambia ananipenda toka moyoni lakini baada ya kuniona kipato changu cha hakikidhi mahitaji yake kasepaaaa.

Kwa kifupi nimejisikia vibaya sana "ni kwanini nilimkubalia yule mdada awe mpenzi wangu "

Lakini katika yote hayoo

IVI NI KWELI WADADA WANAPENDA KWELI PALE WANAPOTONGOZA WANAUME?
TOKA LINI MWANAMKE ALISHAWAHI KUPENDA MIKONO MITUPU? MIMI MWENYEWE KUNA MDADA NILIKUWA NAMPA LIFT AKAANZA KULETA MAMBO YA MAPENZI NILIVYOKATAA KUENDELEA KUMPA LIFT HATA MESEJI HASEMI...MWANAMKE HAJAWI KUPENDA SULUARI AISEEE
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom