GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Huyu dada toka mwaka jana mwezi wa saba namfutalia alikuwa ananizungusha tu. Nikimwambia aje home anakwepa na siku akija anakuja na rafiki yake. Nikawa nashindwa kuelewa anakujaje na rafiki yake. Nami lengo langu ni kumkamua.
Toka last week namwona anapita pita home kuja kunisalimia jumamosi na jumapili.tatizo anakuja kipindi kibaya.anakuja watu tupo kwenye mfungo na yeye mwenyewe amefunga.akifika anakaa anacheck movie kwenye screen yangu kubwa inch 53 ukutani anakula music ikifika saa kumi na nusu anaaga.
Sasa nashindwa kuelewa lengo lake nini.nikimuuliza anasema amefunga nami nakuwa nmefunga pia. Ananitesa sana maana muda wote akiwa home DUDE LINAKUWA LIMEAMSHWA.
na vitabu vinasema tusiikurbie zinaa....dharura.