Men Pussification!

Chuda Kashara

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
851
1,000
Wakuu wa jukwaa amani na utulivu viwe juu yenu.

Hii tabia inakera mno! wanaume kuwa kama mabinti.

Kwa mwanaume kuwa na best friend wa kiume ni shughuli kweli kweli.Wanaume wengi wana tabia za kike. Kwanzia kuongea, mikao, kung'ata midomo, marashi ya kike, n.k.
Inakera sana kuhusiana na mtu kama huyo maana anakufanya uonekane baasha.

Siku za hivi karibuni inakuwa ngumu kutofautisha mwanaume na mwanamke sababu kila siku tofauti zinapungua.Zamani umbea ilikuwa tabia ya kike lakini leo wanaume ndio viongozi wa SHILAWADU.

Inaonekana hii ni trend mpya duniani kote.Wanaume wanapoteza utambulisho wa kijinsia.
Huko ng'ambo ya bahari ndiko pameoza zaidi, wazungu wanaume wameishia kuwa cuckolds & sissies.

Wanaume wamewekwa chini ya skirt na hawana tena usemi.Hii tabia ya wanaume kuwa kama wanawake ina athiri hadi mahusiano na ndoa.Kila siku kasi ya talaka inaongezeka maana wanawake wanakereka kuwa na mwanaume aliye kama mtoto wa kike.Hata kwenye sumaku, north pole ikifanana na south pole hakutakuwa na uvutano tena.
Nimalize kwa kuwaasa wanaume wenye tabia za kipussy pussy waachane nazo mara moja.
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,258
2,000
Tabia hii ipo sana Daresalama.

Kunukia marashi ya hovyo, kuvaa vibukta vinavyoacha mapaja wazi, kuvaa suruali za kubana na mengineyo.

Huku mikoani bado hawajatufikia.

Tunaiomba Serikali iitenge Dar es Salaam, watu wanaokuja huku mikoani waache vidoido vyao huko.
 
harder king

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
3,893

Unawasema wanaume wa darasalamu mkuu
 
Chuda Kashara

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
851
1,000
Tabia hii ipo sana Daresalama.

Kunukia marashi ya hovyo, kuvaa vibukta vinavyoacha mapaja wazi, kuvaa suruali za kubana na mengineyo.

Huku mikoani bado hawajatufikia.

Tunaiomba Serikali iitenge Dar es Salaam, watu wanaokuja huku mikoani waache vidoido vyao huko.
wengine wanavaa nguo za pink
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom