PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Wakuu,
Naomba mnisaidie kwa hili,
Kuna msichana mmoja nimezoeana nae sana sasa hivi siku za karibuni anadai nimembaka ndotoni na toka ameota hiyo ndoto nimebaka imepita kama wiki mbili msichana hataki kunisemesha anataka nimuombe msamaha kwa sababu nimembaka ndotoni na mimi nimekataa kuomba msamaha maana hamna nilichomfanya kama kumbaka sijawahi kumbaka.
Nimfanyaje huyu msichana ili asahau hiyo ndoto maana kila siku ananitext nimembaka alafu cha kushangaza anawaambia rafiki zake wasionge na mimi eti nitawabaka ndotoni hicho ndo kisa kilichonikuta wakuu