Ni ujinga kumtumia hela mwanamke wakati hujawahi kumgegeda

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,241
2,000
Kwa hali ya sasa ni uboya wa kiwango cha kimataifa kutuma tuma hela ovyo Kwa mwanamke ambae hata hujawahi kumla, Demu unamtumia hela anaenda kugongwa na wengine ukigundua unajipa presha Tu

Siku hizi ni give to me I give to u masuala ya kuhonga honga ni uboya kabisa
Bora uitwe mwanaume suruali kwani shida iko wapi wanaume mavazi yetu ni suruali.

Kuna wale mademu njaa ukiomba namba ya simu Tu ukamtafuta ataanza kukutangazia njaa hasa msimu huu wa sikukuu kana kwamba wee ni mzazi wake.

Bora hiyo pesa uwekeze Kwa familia au unywe bia kuliko kumpa demu asiewahi kukupa mzigo ni hasara mno. Najua wale mademu wapenda dezo watakuja na mapovu hapa kujitetea
Sio Kwa usawa huu hakuna cha bure hapa.
 
Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,487
2,000
Kwanza mwanamke anayekuomba hela kila mara ujue ana tatizo
Siyo tatizo [HASHTAG]#Nokia83[/HASHTAG] ni kwamba hujapedwaa mwanamke anyeomba pesa mnoo huyo hajakupendaa!!!!
Km uamini ktk umri wako najua ushawahi kuwa kwenye mahusiano either mmoja wawili au nakuendlea na katika hao wapo waliokupenda kwa dhati wapo waliokutamani/au walitamani kitu Fulani kutoka kwako
.......lzm watakuwa na utaofauti kati ya aliye kupenda na aliyetamani kitu Fulani kutoka kwakooo, matendo yaooo ndiyo yatafanya uamini na km bdo hujaanza mambo ya kikubwaa ukija kuanzaa utajua chunguza kwa makini
 
Inna

JF-Expert Member
Jan 13, 2017
11,076

Na mwanaume ambaye hajakupenda inakuaje?
 
Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,487
2,000
Mm kiukweli mwanaume niliye mpenda kwa dhati sikuwahi kumuomba hela alikuwa akinipa mwenyewe pesa za matumizi madogo madogo, niliwahi kumuomba mara moja tuu tena ilikuwa asubuhi namuandaa aende kzinii,
Ila wale ambao sijawapendaa weweeee acha KBS, alafu wao ndiyo unakuta wamekufa wameozaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom