Huu mwezi uishe tu

Huu mwezi uishe tu

Kweli aisee,viwanja vyote watoto wamepungua kweli,
 
Sisi suni tunaendelea na mfungo sita, sasa ole wako utuguse tukiwa kwenye saumu zetu
 
Tunaofunga tunaomba huu mwezi tufunge hata siku hata 100 kutokana na mema ya mwezi wa Ramadhan
 
Mtaani kwetu wanagawa kama kawaida..pole sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom