Ni kwanini huyu msichana yupo tayari kumtangazia shida mwanaume wake wakati ana wazazi wake?

C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,002
2,000
Sio wadada wote ila asilimia kubwa wadada wa siku hizi ukingia katika mahusiano tuu ni lazima utakutana na neno nina "SHIDA" .

sasa kinachosikitisha unakuta mdada ana wazazi wake wako vizuli lakini sasa anavyokomaa na wewe kukuelezea hizo shida
"kila siku nina shida " mbaya zaidi shida zenyewe haziishii tuu?

Lakini twende mbele turudi nyuma ivi inakuwaje demu anashidwa au anaogopa kumwambia baba yake au mama yake nina shida ya hichi wala kile lakini yeye anakomaa na wewe ndio umtatulie shida zake?
 
sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
15,395
2,000
Leo kalala nyumbani mara kesho hajalala nyumbani, (binti)

Mara kachelewa kurudi. Yupo bize kuchart na kuongea na sim usiku kucha.

Wamhudumie hao hao wanaomkeep bize.
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,594
2,000
Sio wadada wote ila asilimia kubwa wadada wa siku hizi ukingia katika mahusiano tuu ni lazima utakutana na neno nina "SHIDA" .

sasa kinachosikitisha unakuta mdada ana wazazi wake wako vizuli lakini sasa anavyokomaa na wewe kukuelezea hizo shida
"kila siku nina shida " mbaya zaidi shida zenyewe haziishii tuu?

Lakini twende mbele turudi nyuma ivi inakuwaje demu anashidwa au anaogopa kumwambia baba yake au mama yake nina shida ya hichi wala kile lakini yeye anakomaa na wewe ndio umtatulie shida zake?

Sio kosa lake, ni kosa la wazazi wake kutokuweka mazingira hayo, namwomba Mungu na ninajitahiki kumuweka huru binti yangu hata ikiwezekana aweze kuniomba hata hela ya kununua pedi (Ni msemo tu, ingawa ana Mama mzuri sana), kwa kusema haya nataka kuonyesha ni jinsi gani ni muhimu kwa mzazi kumfanya mtoto huru, kutokumkaripia akiwa na shida etc..... ila pamoja na haya yote, kuna wanawake wanaboa. Jana mmoja kaniomba vocha, nikamuuliza vocha ya mtandao gani? ananijibu nitumie hela nitanunua mwenye, righty away number yake ikaenda kwenye: Harasement filter!!!! Alishindwa nini kunambia nisaidie elfu 5 au 10? wamekaa ki mbinu mbinu kweli, ila mwisho wa siku ni malezi tu!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom