Mapenzi bila kunjunjana hayawezekani

Mapenzi bila kunjunjana hayawezekani

Issakson makanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
876
Reaction score
1,476
Salaam
Wana jamvi ili swala la kuwa na mpenzi ambae hataki ata kuguswa makinikia yake,

Limekuwa tatizo Kubwa sana hawa wadada hawaeleweki kabisa, niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukawa kwenye mahusihano miaka 6 bila kunjunjana nilimsomesha kutoka secondary mpaka chuo alipofika chuo mwaka wa3 Akanitosa mzima mzima nilipata ukichaa mwaka mzima,

Kilichoniuma zaidi makinikia yakaliwa na wawekezaji hewa, sasa nyie wanaume endeleeni kulea hayo makinikia kama mtapata kitu, usikubali eti miezi 2 huja chenjua makinikia, hakikisha una mnjunja kwanza ndo mengine yanafata(ila usikosee njia kwani umewai ona mbuzi wanakosea njia)

AKA KAMCHEZO KATAM BANA
 
YANAWEZEKANA kama unataka kuoa, mko mbalimbali na tangu mjuane mtaoana muda usiozidi mwaka na nusu.
Kidoogo na kadini flani serious kawepo vinginevyo mtakuwa mnatunzana nyie wakati kila mmoja kwa upande wake ni mchepuzi.
 
Kunjunjana nimuhimu lazima ule mpepe usiponjenjua hiyo makanikia mwenyewe wenzako watakua wanaichenjua mwsho wasiku utaachiwa handaki......

Mtoa posti nimependa aina ya lugha uliyotumia
 
Hiyo kitu haipo ktk akili yangu....mchezo ni kitu muhimu sn
 
Kunjunjana nimuhimu lazima ule mpepe usiponjenjua hiyo makanikia mwenyewe wenzako watakua wanaichenjua mwsho wasiku utaachiwa handaki......

Mtoa posti nimependa aina ya lugha uliyotumia
Lazima uchenjue
 
Ungekumbuka mapema hii kauli Mchumba/mke hasomeshwi mkuu.
Ila msomeshe mwanamke kama msaada au wajibu wako ila usimsomeshe kisa ni mkeo au mchumba utaumia tu.

Umeeleweke vyema mkuu wakunjunja , hata mimi silei makinikia bila kuyachenjua
 
Mi nina mwaka wa nane huu wala kumgusa sijawahi.. Nitamgusa honey moon.. Kwanza zinaa ni chukizo mbele za Mungu..

Mhudumu nipe zingine mbili za baridi tafadhali
 
MKUU UTAKUTA HANDAKI TU MAKINIKIA YOTE UTAKUTA YASHATOROSHWA
 
Anasomeshwa mke wa ndoa na sio demu hata cku moja usirudie tena hiyo.... Tena uache hiyo haraka xana alla!!
 
Salaam
Wana jamvi ili swala la kuwa na mpenzi ambae hataki ata kuguswa makinikia yake,

Limekuwa tatizo Kubwa sana hawa wadada hawaeleweki kabisa, niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukawa kwenye mahusihano miaka 6 bila kunjunjana nilimsomesha kutoka secondary mpaka chuo alipofika chuo mwaka wa3 Akanitosa mzima mzima nilipata ukichaa mwaka mzima,

Kilichoniuma zaidi makinikia yakaliwa na wawekezaji hewa, sasa nyie wanaume endeleeni kulea hayo makinikia kama mtapata kitu, usikubali eti miezi 2 huja chenjua makinikia, hakikisha una mnjunja kwanza ndo mengine yanafata(ila usikosee njia kwani umewai ona mbuzi wanakosea njia)

AKA KAMCHEZO KATAM BANA
Aisee! Ulikuwa fala sana mkuu, anyway afadhali umekuwa mjanja.
 
mapenzi ya bila kukwichikwichi yapo kwenye tamthilia huko....utakuta mchumba wako unamtunza unaishia kumshika mkono...afu kuna mmbabe anamkamua ileile yaaani....mixer "mtukane basha ako"
 
Wanasema anasimamia kwenye mtelemko
 
Back
Top Bottom