Ukitaka Chura wa ukweli nenda beach

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
456
1,000
Wakuu, naona siku hizi mtindo wa kuweka vigodoro kwenye makalio umeongezeka kwa kasi sana.Sasa hivi mjini kila msichana mzuri unakuta anachura, yani imekua ni shida mjini.

Utafiti wangu usio rasmi umegundua kuwa Chura nyingi ni feki, wanawake wengi wanavaa vigodoro.Sasa hivi ni mwendo wa vigodoro tu, Vera Sidika na Wema wanawachanganya.

My take

Jikubari mwanamke, kama mzuri mzuri tu... Na kama mbaya, mbaya tu...Aina haja ya vigodoro kuja kuumbuka kitandani.
 

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,067
2,000
Ahh mi siamini ,mi naonaga vijungu,unataka nambia vile ni spongy,hapana kwakwel,..madem wa bongo wanavijungu vya ukwel
 

BOB OS

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,332
2,000
12555894_1516555488640670_380385883_n.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom