UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,019
NANI ANAWEZA NIAMBIA SPECIFIC YA MAHITAJI YA MWANAMKE COZ MIMI NAONA SIWAELEWI HITAJI LAO HASWA NI NINI?
Utakuta mwanaume anamsaidia mkewe kazi hata kufua sometimes kudeki, sometimes kupika, mwananume kampa mda wake wote akirudi kazini hatoki nyumbani anacheza na mkewe na kuangalia season na kucheza na watoto ila wapi.
Mgegedo anapata mpaka anaweka poo ila bado anakuwa na visirani sasa nani atuambie specific zao ni zipi.