Maudhi ya wanaume

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,346
Huyu shost ni yule aliyenisuta sana tulipokuwa la Saba Mimi A yeye B, tumesha yasahau yale. Tunaishi wote huku kwetu Kwamtogole, mtaa mzima wanamheshimu kwakua mume wake anazo anazo hata michango ya kumtoa mwali wote tukichanga 5,000 mwenzetu anatoa 20,000.

Ana housegirl wake alimpata akiwa amemaluza darasa la saba tu, inaweza kuita child labour lakini wote walihitajiana, binti alihitaji pesa kusaidia familia yake na shost alitaka mlezi wa mwanae mdogo. Miaka zaidi ya kumi imepita shost alushagundua ukaribu wa mume wake an binti wa kazi alimpiga binti biti la kumheshinu baba , sasa juzi anagundua mume amemjengea nyumba baba wa binti kijijini. Nyinyi vwanaume mnaudhi si kidogo.
 
Mtu natakiwa kama msichana wa kazi anakutunzia mtoto wakati we haupo umfanyie lhsan,Mungu huwapenda wenye kufanya Ihsan.Pia je huyu mama alikosa matumizi wakati hiyo nyumba inajengwa?Kama tuna uwezo tuwasaidie wasio nao.Mungu hatauliza tulikuwa tunaishi nyumba nzuri kiasi gani,atauliza je tuliwasaidia wangapi ambao walikua hawana pakulala?
 
Back
Top Bottom