Muigizaji kutoka Nigeria, Omotola Jalade-Ekeinde ameahidi kuwa hatomsamehe mumewe Captain Matthew Ekeinde, endapo akichepuka.
Akihojiwa na kituo cha runinga cha BroadwayTV, mrembo huyo ameeeleza...
Jamani msaada,
Mwenzenu nimepangiwa kituo kimoja cha kazi na mamamkwe nakosa raha hata nikimuona namkwepa, ushauri nifanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watafiti wanaochunguza matokeo yao tafiti 200 wanasema kuwa upungufu wa kiwango cha mbegu za kiume miongoni mwa Wanaume kutoka Marekani kaskazini, Ulaya, Australia na New Zealand ufikia nusu yake...
Salaam wa MMU,
Kuna jambo nimeona nishee na ninyi Great Thinkers tupeane mawazo, tuhelimishane na kupashana habari kuhusu hizi tabia za wanawake/wasichana wa bongo. Mwaka Jana mwezi wa 4...
Wadau habari ya Siku ya Leo.. Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, mimi ni Kijana kati ya miaka 27 na 30. Naishi mwanza mjini mjini. Wilaya ya ilemela.
Nahitaji mpenzi wa kike kwa ajiri ya...
Si umewahi kusikia falsafa ya Wahenga kwamba, ‘Uzuri wa mwanamke ni tabia, sio urembo?’ Basi nakushauri ishia kuisikia hivyo hivyo, usije ukaamini, na zaidi ukataka ifanye kazi katika enzi hizi...
Niko katika mfululizo wa maada zenye kuondoa mkanganyiko ama myths zinazoharibu saikolojia ya vijana na kukosa kujiamini. Kama hukunisoma kwenye maada yangu iliopita ni vyema ukanisoma ili twende...
Kuna dada mmoja ameajiriwa hivi karibuni sasa cha kushangaza ameolewa kama mwaka mmoja hivi uliopita lakini amejiriwa nje ya mkoa wa Dsm.
Mume wake anaishi Dar kilichonifanya nilete hii post ni...
ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.
mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta...
Wadau nahitaji kuoa sasa.
Umri umetosha, kazi nimepata sasa nahitaji kuanzisha familia.
Nina 28 yrs naomba mdada aliye tayari na serious ani Pm.
Nasistiza mwenye nia ya dhati plz sio...
Jamani mwenzio nimeshindwa kupata usingizi mpaka mida hii
Kuna rafiki yake mpenzi wangu alikuja nyumbanu juzu kumsalimia rafuku yake baada ya kukaa hapa nyumbani kwa siku zote hizo Leo shemeji...
JOTO LA MAPENZI-1
Kutokana na maji kuingia kwa kasi katika shimo alilokuwemo kijana ambe yalimzindua kutokana na kuteleza na kudondokea humo wakati wakiwakimbia askari magereza na kupoteza...
Wakuu habari yenu
Mm kwa jina naitwa David Denis. Ni graduate enginner . Natafuta mke/mchumba awe chini ya miaka 24. Aliyeko tayari anitafute inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa yalionikuta,
Wiki iliyopita jioni narudi toka kibaruani, nipo ndani ya basi, limejaaa watu wamesimama mpaka kubanana. Mbele yangu kuna mdada kajaa mzigo nyuma na kajaaliwa... ananiegemea...
Habari zenu watu wazito,
Naamini mko salama,
Kuna jambo 1 linaniumiza kichwa kuhusu kumuoa dada yangu kwa kawaida hii aiji akilini kuoa ndugu yako wa karibu wala haileti picha nzuri kabisa...
Kumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.
Kwanza kabisa tujue jambo...
Habari zenu jamani
Katika familia yangu tumezaliwa wawili Mimi nikiwa ndiye mtoto wa kwanza alafu akafwata midogo wangu ambaye tayari ni marehemu mwezi sasa umepita.....nimebaki Mimi na mama...
Ni shost aliolewa amekaa kwenye ndoa na mume wake huu mwaka wa kumi na mbili mpaka wamefanikiwa kununua nyumba Kwamtogole. Ni nyumba ya vyumba sita baada ya kuikarabati bi shost anapewa taarifa na...
Sifa
Age 21 hadi 32
Mrefu, white kidogo awe na umbo namba 8
Awe anafanya kazi muajiriwa au mfanyabiashara
Sifa zangu mimi
Age 28, mrefu futi 6, chocklet colour sio maji ya kunde sio mweusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.