Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tunaomba majibu tushawachoka! Hamjengi, hamlimi, magari hamnunui, vipato vyenu havieleweki kila siku matatizo nadhani itakuwa laana hiyo. Mjue pesa nyingi tunawahonga bila kupenda? Nyie kazi...
12 Reactions
66 Replies
6K Views
Asilimilia kubwa ya wanawake hawafahamu au hupata raha ya tendo la ndoa mara chache sana katika kila mara wanazofanya. Na wengi wanasema hii hutokana na mambo kadhaa likiwepo la; 1. Kutoandaliwa...
6 Reactions
73 Replies
9K Views
NDOA MAHUSIANO YA NDOA - HIVII, NDOA NI NINI HASA ?!!! Ndoa ni tendo la kujamiana baina ya jinsia mbili ya kike na kiume katika mahusiano halali baina ya jinsia mbili hizo, kwa kibali cha wazazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
With a staggering 80 per cent of Americans saying they suffer from workplace stress, award-winning sex toy brand Hot Octopuss has launched the world’s first ‘GuyFi’ male stress relief booth...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari za mwisho wa mwezi:- Katika maisha tunayoishi kuanzia watoto hadi kuanza kusoma, I-VII, I-IV, V-VI unaenda Chuo, Field na maisha ya mtanzania bila kusahau ni kuhamahama. Mnakutana na watu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna ndoa iliyoanza na, 1. "Will you marry me?" 2. Nyingine hii "Nina mimba yako" 3. Kuna za mitishamb a.k.a sangoma 4. Status za kimaisha mfano Dr. GWILA, 5. Vyeo na kadhalika..... Kama...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari za mda huu wana jamvi, Naleteni uzi huu kwenu ili mueze kunishauri juu ya huyu ndugu yangu. Baada ya kusikia utani wa hapa na pale kuwa watoto wa shangazi yake anaweza kuwaoa lakini sio...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wana jumuia, Kwa nini kila kukicha imani za watu walio wengi waliokuwa kwenye mahusiano inazidi kupotea? Laghai zinakuwa nyingi, kuchepuka nako hakwishi na hata uzalendo wa kufanya yale...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Unaweza jifunza kufungua account ya insta ila huwezi kuufunza moyo eti ufunguke umpende mtu flani kupenda ni asili na asili inatabia mbili kuendelezwa au kuharibiwa lakini asili haifunzwi huwezi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Tafadhali sana wana JF, Naomba mnipe ujanja wa kumnasa mwanamke anaenikataa. Ni siku nyingi sasa namfukuzia huyo binti lakini bila mafanikio hataki kunikubali, ananikataa katakata. Hebu wanaume...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Wanaume wanapenda ngono, wanaume hawapendi kutumia kinga, pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo. Nawashauri wanawake tuwe makini sana kama mtu hataki mkapimane achana nae maisha yenyewe...
19 Reactions
164 Replies
13K Views
Wapendwa salamu nyingi sana. Poleni na majukumu na hongereni kwa ufanisi wa kutwa nzima ya leo. Jamani mwenzenu safari yangu bado sijafanikiwa kupata mke japo hivyo pls kwa wadada ambao mpo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi binafsi mdada asipo tongozwa wala salam hapati kutoka kwa wanaume anajihisi ana mikosi au atajiona karogwa nimeona leo bandarini kuna dada anamwambia na kulalamika kwa mwanamke mwenzie kuwa...
4 Reactions
86 Replies
7K Views
Wanajanvi salaam jamani, Nawakilisha shida ya ndugu yangu humu naomba msaada, Ni binti wa kitanzania ananatamani kuwa na mume mzungu jamani tokea utoto wake mpaka leo ndio ombi lake ila...
2 Reactions
193 Replies
15K Views
Wanajamvi... Pale unapochepuka halafu kwa namna moja au nyengine mke akajua, ila kakukalia kimya. Yaani yeye yupo na shughuli zake kama kawaida siku nenda siku rudi na lile swala halijazungumzwa...
2 Reactions
83 Replies
8K Views
Naandika uzi huu nikiwa na mambo mawili hasira kubwa na masikitiko makubwa mno kwani kilichonitokea tu hivi punde kusema ukweli najuta kuwa mwana Mkoa wa Mara ( Musoma ) Kuna Dada mmoja hivi wa...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Natafuta mume mchamungu...miaka 25 hadi 45 buhahah...sichagui dini...hivi mnakumbuka mlivyotunyanyasa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Tafsiri ya mapenzi kwa mwanamke na mwanaume ni vitu viwili tofauti. Wakati wanaume wengi wakijikita katika kuwafanyia mambo makubwa wake zao, kama kuleta chakula nyumbani, kununua nguo na hata...
16 Reactions
80 Replies
21K Views
Anahitajika mke mwenye elimu ya degree na kuendelea aliyetayari kuanzisha familia na awe mcha Mungu wa dini ya kiislam,umri miaka 23-25,umri wang ni miaka 32 ni mtumish wa uma kwa aliye serious...
0 Reactions
4 Replies
871 Views
Back
Top Bottom