Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

RAGNAR LOTH

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
698
1,589
Kumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.

Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi wake unaanzia kwenye ubongo (brain). Kwa maana hiyo basi ubongo ndio unaratabu kila aina ya maridhisho ( satisfactions ) na dereva pekee wa brain yako ni wewe. Ukitaka ubongo wako uamuru mwili uridhike mwili utatii, na vilevile ukitaka ubongo uamuru mwili usiridhike mwili utatii vilevile.

Walalamikaji wengi wa kutoridhishwa kingono hasa wanawake ni kwamba wameuamuru ubongo wao kutoridhika na vilevile mwili utaitikia kwa kutoridhishwa. Unaweza kungonoka na wanaume saba at once still bado usiridhike.

Kuna moja ya thread ilikua inasema " Hivi wanaume kwenda chini ya dakika 30 mnajielewa kweli "?.
Ni kwamba huyu mwanamke ameu condition ubongo wake kwamba chini ya dk 30 haridhishwi hata kama atasuguliwa vipi chini ya hizo dakika hawezi ridhika, Kwa style hii wanawake mtatuvunja viuno.

Kwa wanaume sasa wakishasoma thread kama hizo wanapanic na kujihisi wana tatizo kama wanaenda kwa dakika chache ndipo Mavumbi ya Kongo yakavumbuliwa. Kwa wanawake nao wakisoma hizo thread wanaiambia akili
" Kusuguliwa chini ya dakika 30 kumbe hakuridhishi " akili kazi yake kutii tu utakavyojiambia, Michepuko inashamiri na ndoa kuvunjika kunapamba moto, na biashara ya sex toys inaingiza mapato manono na kulishana papuchi kunashamiri

Hii cycle ya kudanganyana inaendelea tu, wengine tunabaki watazamaji tu. Madhara makubwa yanatupata wanaume kwa kutumia madawa yasioeleweka tukidhani tiba kumbe tunajilipua....!!


Wito kwa wanaume wenzangu


Tuungane kwa umoja wetu tuvunje hii cycle, Sugua dakika 5 kojoa, Geuka ukutani, Koroma kama genereta ..... Watatuuwa washenzi hawa, tutatalishwa papuchi hadi tushibe. Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena .... Wewe uliyeoa kahaba mcheza porno asiyeridhika endelea kubwia mavumbi uvumbike ipasavyo na bado utagongewa kwa kigezo cha kutoridhisha mtu....
 
kawaida bao mbili tu
tatu na kuendelea ni kwa wasio na kazi

dada kusimama kutoka posta hadi kimara ndani ya mwendokasi huwezi ila hii kitu isiyo na miguu isimame usiku kucha

nipe break dada mi ni binadamu pia
 
Back
Top Bottom