Jamani mwenzio nimeshindwa kupata usingizi mpaka mida hii
Kuna rafiki yake mpenzi wangu alikuja nyumbanu juzu kumsalimia rafuku yake baada ya kukaa hapa nyumbani kwa siku zote hizo Leo shemeji aliniomba nimruhusu aende na mpenzi wangu Unguja akasalimie wazazi wake maana yeye ni askari magereza huko Arusha.
Kiroho safi nikamkubalia tena nikawasindikiza mpaka bandarini mida ya saa kumi by saa kumi na mbili niliongea na mpenzi wangu akaniambia wamefika poa.
Nilimpigia tena saa tatu akaniambia wapo mgahawani ameenda kununua chips maana nimeshindwa kula urojo.
Nusu saa baadae akanipigia akaniomba acharge simu kidogo kisha tutaongea, cha kushangaza toka mida hoyo hapatokano kwenye laino zote nne yule mwenyeji wake nae alikuwa apatikani.
Sasahivi shem anapatikana ila hapokei simu na SMS hajibu nimekosa usingizi nampenda mpenzi wangu nisaidieni mliokuwa macho nifanyeje?
Au wenye uzoefu na Unguja mnijuze vijana wa kule wako shapu kiasi hicho kumuona masaa machache tu wamfungie mpenzi wangu au yule shem ameenda kumkuadia kwa mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app