Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Za asubuhi wanajamvi, Natumai mmeamka salama, Natumai nyote mmeshakuwa kwenye mahusiano na watu ambao kutokana na sababu mbalimbali mahusiano hayakufikia lengo na kupelekea kuachana lakini pia...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Wanaume acheni huu ni unyanyasaji uliotukuka... Kuna mwanaume mmoja amemuharibia masomo binti alikua form 5, ndugu wa binti wakachachamaa amsomeshe na umuoe lasivyo sheria inachukua mkondo wake...
7 Reactions
81 Replies
9K Views
Ilipita miaka, miezi, wiki, siku na yakabaki masaa machache ya kufanya Jaribio langu la kwanza kwa huyu mtu, na nilitaka kizazi kikumbuke tukio hili la kishujaa nitakalofanya. Nikakumbuka maneno...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu natumai weekend inamalizikia vyema kabisa... Naandika hapa kwa majonzi mazito Sana yani... Nilikua na dogo langu 21 years old alikua anapiga kazi sekta ya utalii arusha hapo Weekend...
29 Reactions
137 Replies
11K Views
Wakuu habari za usiku.. Hivi kitu gani cha ajabu ushawahi fanya maishani mwako mpaka ukajishangaa baada ya kufanya
1 Reactions
180 Replies
21K Views
Hivi kwanini couple za wezetu wazungu zapendeza kuliko zetu. Wenzetu wakikaa mtu na boyfriend wake au mmewake wavutia wakipiga picha wapendeza. Sasa kwanini za kwetu hazipendezi? Mmejiuliza...
2 Reactions
74 Replies
9K Views
Amani kwenu wadau, Baada ya safari yangu ya kwenda Mombasa Kenya kuchukua nazi za biashara iliishia pale sokoni kuu la Morogoro nilishusha mzigo kwenye fusso nikamkabidhi tajiri ili anipatie pesa...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Kama mada inavyosema je simu inachangia asilimia ngap? kualibu mahusiano [emoji32] [emoji32] [emoji32] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Wadau katika mambo sensitive huwa naandika kwa heshima na taadhima kabisa naacha ile lugha ya kibazaz nisije onekana baradhuri kwenye mambo ya msingi. Naanza toa shukran zangu kwa mlionitia moyo...
41 Reactions
451 Replies
30K Views
Niwape pole kwa mapambano ya kujenga nchi, Kwa mda nilioishi katika jamii kadhaa na watu niliowaona nimeona kuna aina nne za wanawake zifuatazo: 1. Wanawake ambao ukiwa naye kwenye mahusiano...
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Hili nimeliona sana kama siyo mno na sasa nadhani linashika kasi katika Jamii yetu. Huko zamani au huko nyuma ulikuwa ikitokea unaenda Gesti au Loji ' Kubanduana ' au ' Kufanya nae Mapenzi ' au '...
20 Reactions
262 Replies
36K Views
Wadau JF, Una mwenza (hasa wa ndoa/mnaishi pamoja) na mnatumia gari lenu moja kwenda na kurudi ofisini. Asubuhi mwenza anakuacha ofisini kwako na akitoka anakupitia mnaondoka kurudi home...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za weekend wakuu, Kwa jiji la DSM sijui kwa mikoa mingine kuanzia mida ya sa 10 jioni zaidi kwenye vituo vya daladala biashara ya pweza ndo inaanza kupamba moto. Imezoeleka wateja...
4 Reactions
257 Replies
16K Views
Bi shost amepata mchumba jamani Karla mapenzi niuwe qalitofautiana kidogo. Shost aliitwa kazini anampigia simu mchumba kumtaarifu mchumba akapata simu. Kwa hasira shost alimblock mchumba akiwa...
1 Reactions
86 Replies
11K Views
Sex kwa wanandoa haipo kwa ajili ya kutengeneza watoto tu. Kama mke, kila mara lazima uwe tofauti kwa mumeo. Mshawishi mumeo, usiruhusu mumeo akuombe sex, usiwe na ratiba ya sex. Kuwa mbunifu...
14 Reactions
31 Replies
9K Views
hello, Hili ni swala ambalo nimelifanyia uchunguzi binafsi, lyk ndugu mara nyingi huchukiana na kufanyiana mabaya kuliko watu baki, kinachosababisha iwe hivi nini? Nimejarib kudadavua nkaona...
4 Reactions
90 Replies
12K Views
Habari wana jamii..Nauliza jambo Kuna tafiti zinasema Ni rahisi kumrudia mwanamke ULIYEMUACHA kuliko kumrudia mwanamke ALIYEKUACHA. JE KUNA UKWELI NDANI YAKE? Kama kuna kisa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndoa nyingi zinaingia kwenye migogoro kwa sababu ya mambo ya kukurupuka na kufanya haraka bila wahusika kufahamiana vizuri, hebu tuzingatie yafuatayo ili tusiseme 'NINGEJUA NISINGEOA/NISINGEOLEWA'...
3 Reactions
8 Replies
7K Views
Hivi mnaposema mtu ana kibamia hua mnapima nini, maana mimi najua inatokana na mwanamke maana huwezi sema mtu ana kibamia wakati wewe una pacific ocean uko chini. Dada zangu naomba kujua specific...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Back
Top Bottom