Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana jamvi, Toka nianze likizo nina takribani wiki nikaona si mbaya nikienda kutembea mkoa wa Kigoma.Nipo Kigoma kwa sasa hapa wilaya ya Kasulu,kiukweli kuna kitu kidogo kimenishangaza...
5 Reactions
129 Replies
14K Views
Habari za j3 wapendwa wangu, Asbh hii naleta kisa hiki kama funzo kwetu na pia kuweza kueleweshana juu ya hali halisi za baadhi ya maisha ya ndoa. Ukweli ni mbaya sana but imenipa sura nyingine...
7 Reactions
281 Replies
112K Views
Habari wakuu kwema, Miezi michache iliyopita kama 7 mpaka sasa nilipata dada mmoja hivi ila nilikuwa na wasiwasi maana niliona kama kanizidi akili maana kapitia vingi nilimkatalia akanilazimisha...
6 Reactions
76 Replies
9K Views
Ndio, maisha bila ya kuwa na watu wanaokutegemea si kitu na hakuna sababu ya kujisumbua kwa kutafuta sana. Ngoja nifafanue, wewe ni mwanaume/mwanamke una kazi/biashara/shughuli ya kuingiza kipato...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni kijana mdogo mno wa miaka kumi na saba na yuko kidato cha pili kwa kweli anaumwa na anakuja kuomba ruhusa aende kuchukua vidonge. Namuuliza vidonge vya nini Dogo nenda kwa nesi tu pale...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana love connect , natafuta marafiki wa kuweza kubadilishana nao mawazo umri umri 28-35 wakaka na wadada karibuni pm.
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mapenzi buana...hahahhaha ngoja nicheke kwanza, yaani wakati unamfuatilia ili awe mpenzi wako unatumia nguvu sana, ukikaribia kukata tamaa mara nyingi ndio huwa tunafanikiwa, tukishaingia kwenye...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kadude kadogo lakini kasumbufu kweli. Kanatiaga uvivu. Kila mtu akiulizwa anajibu kisiasa kwamba anatumia lakini mtu huyohuyo ikipita miezi 3 unashangaa ana mimba unabaki kujiuliza alikuwa...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Niko seriosy nataka mke wa kuoa, nina miaka 32 kazi yangu mwalimu natafuta mke wa kuoa nimechoka kukaa hivi. Vigezo; 1.Muislam atakae weza kumcha muumba wake kwa kuswali na mambo mengine 2.Umri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi STUNTER sikuzote nawaambia wanawake kwamba sisi wanaume tukiwa na nia ya kuwaoa sio mpaka mtufanyie hivi vimbwanga vyenu, Manake Maskini yamungu gia zenu zoote huwa kubuma! Mlianza na ile...
27 Reactions
108 Replies
9K Views
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/267134-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja....... Huwa...
44 Reactions
245 Replies
22K Views
Upo Salon, mumeo anajadiliwa na wasichana waliopo hapo Salon... Hawajui kama wewe ndo mkewe... Mmoja wao anatembea nae... full vicheko, full kumpigia simu na kuweka loud speaker. Unamsikia mumeo...
19 Reactions
237 Replies
25K Views
Mtoto utapata ila lazima ufuate masharti yangu." "Babu siamini kama kweli nitapata mtoto maana huu ni mwaka wa saba sasa niko kwenye ndoa lakini sijapata mtoto, niko tayari kwa masharti yako...
7 Reactions
459 Replies
118K Views
Habari zenu wadau, Mimi ni mgeni kidogo hapa JF, Ni mwajiriwa na kipato chango si haba, kinaridhisha kwa kiasi chake, kuna binti hapa mtaani nipo nae yapata miezi mitatu, ni msichana mrembo tu...
1 Reactions
221 Replies
20K Views
Habari za wakati huu? Nina imani sote ni wazima wa afya, Basi tumshukuru Mungu Mkuu kwa zawadi ya uhai aliyotujaalia. Nimefikiria kitu ambacho nimeona ni vyema nikashare hapa ili tuweze...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Imagine getting blocked while u still typing
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Hi wana jukwaa Naina hili jambo linashika.kasi sana duniani Haswa tanzania yetu Miaka ya zamani hili jambo halikua kubwa Na asilimia 70 au 80 ya wachepukaji jinsia.inayoongoza ni ya kiume Siku...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Habar wana jf, Mimi ni mtanzania halisi najitokeza Kwa mara ya kwanza kutafuta mke Wa kuoa. Jina : Deric Mabala Umri wangu : 34 Kabila langu : Mbende Mahali napoishi :Dar es salaam Elimu yangu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Madada wa mjini hii tabia ya kuita waume na ma boyfriend wa wenzenu wazungu pori kisa wametoka eastern block si nzuri kwani hao wazungu pori si binadamu. Juzi Tamekaa bidada alitufahamisha...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarin za jion members naomba kuwasilisha mahitaji ya mwanamke katika moyo wangu kama atakuwa tayari! Umri ni miaka 18 up to 25! Mim umr wangu miaka 27! Nafanya kazi ya kawaida yenye kipato...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Back
Top Bottom