Nitangulize tahadhari:
Uzi huu ni kwa ajili ya kujua ukweli (facts) na pengine kwa kutumia facts hizi wahusika warekebishe kasoro hizo ili kuweka maisha yao sawa.
Kuna wasichana kadhaa...
Wadau wenye ndoa, naomba kujadiliana nanyi jambo hili.
Je, mke kuoga na mumewe mara kwa mara, ama mke huyu kukaa mtupu kila mara mbele ya mumewe huongeza msisimko au huchangia katika kupotea...
Copy and Pasted
Katika maisha mwanaume inakupasa kufahamu mambo ya msingi yatakayo fanya maisha yako yawe ya furaha, mambo hayo ni pamoja na:
1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa...
Hivi Hii sheria ya kumpa Mimba mwanafunzi adhabu yake ina apply kuanzia wanafunzi wa level gan mpaka level gani? Je ata advance wanahusika? au ni wale tu wanaosomeshwa Bure na Magufuli
Mimi ni mwanaume wa Dar kabisa nina kifriji cha bia za ofa na kitimoto na kazi yangu huwa ni upambe kwa matajiri na watoto wa mjini japo nina kiofisi cha kuzuga cha insurance broker na clearing...
Jamani naombeni nianze moja kwa moja kwenye mada, maana kuna sehemu nilikuwa napata moja moto moja baridi sasa mwenzangu mmoja baada ya kukolewa na maji akatoa kauli hii "hapa ni kunywa na kukojoa...
Mamboz!
Naomba mchango wenu katika hili.......hivi kuna uwezekano wa mwanaume kutoshiriki tendo la ndoa na girlfriend wake mpaka pale atakapokuja kumuoa ndo wataanza rasmi kushiriki hilo tendo...
Kama inavyojieleza ninahitaji muwekezaji makini awekeze pendo katika moyo wangu ili tupate faida pamoja, mimi ni me mfanyakazi niko Dar.
Age early 30s. Yeye mfanyakazi awe mtu makini ambae...
Hello,
Bonjour à Vous!
Wana MMU, twende kwenye mada, issue iko hivi, upo na marafiki zako wa kiumeni sasa inatokea miongoni mwa rafiki yenu mmoja akawa ana mke/demu mzuri yaani umbo na haiba...
Dah, inasikitisha pale una kabinti ka sekondari kanakuamkia shikamoo kwa adabu zote alafu kesho unasikia kanatembea na mwalimu ambaye ni umri tu sawa na wewe mzazi.
Sasa ningependa kujua wale...
Ndugu wanaJF habari zenu!
Siku za karibuni kumekuwa na mkanganyiko na malalamiko kwenye ndoa nyingi haswa kutoka kwa wanaume wenye kuendekeza ulevi au kulala nje ya nyumbani kwa muda mrefu...
Dume la nyani nawasanua wazee wa kupenda kitonga bajeti ya kununua chupi ni yako mwenyewe.
Unapomfanyia mtoto mzuri shopping ya chupi unateka akili yake kila akienda kuoga au chooni lazima...
Imegundulika kwamba wale wanandoa ambao hufululiza kufanya tendo la ndoa ndiyo huwa na ndoa imara na yenye furaha kipindi chote cha maisha yao kuliko wale wanandoa ambao hufanyiana ' ubahili '...
Kukaa na kidonda moyoni siyo vizuri,wahenga walilitambua hilo mapema.Manyanyaso,ukatili na kila aina ya vitimbwi tunavyofanyiwa sisi wanaume kwa kweli tuseme kwa sauti kuu imetosha
Wazee wenzangu...
Kwa kweli nimetafuna wengi mno hata idadi sikumbuki. Sasa nataka niache, maana kila bar nikifika na nikaona muhudumu aliyenivutia lazima nichukue namba na next day namtafuna. Nawaasa wadau wenye...
Hi guys,
Jamani naomba tumpe rafiki yangu ushauri kuhusiana na mapenzi. Hiki hapa chini ni kisa chake. Anashindwa kupenda mtu ki ukwelii nadhani kutokana na past experience from her first, real...
Tumebishana na mtu hapa,
Kuna jamaa umri wake unapita 40 hadi leo hajaoa Ana maisha mazuri, biashara nzuri, nyumba za kutosha, lakini likija suala la kuoa hadi leo hajaoa na anakaa peke yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.