jinsi ya kumpagawisha mwanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jinsi ya kumpagawisha mwanaume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Graca, Nov 10, 2012.

 1. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.

  mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta njia tu ili ajue kua nataka tamu. yaani hii humfanya anyegeke na awe na hamu na mm mara kwa mara. yy huwa ananiambia G mtundu sana ww unanifanya niwe na hamu na ww muda wote.

  kama yupo kaxini basi nitahakikisha namtumia sms na vipicha vya kimahaba ilimrad tu kuamsha hisis zake.. hii imetusaidia tumekua karibu sana.

  tukija faragha sasa. hahaa mtoto wa kike najituma mpaka basi yaaani msujuzi yote nayaaply mpaka kanivulia kofia..

  so akina mama tujitahidi tuwe wabunifu na mawasiliano yawepo. unapenda kitu mwambie na kama hupendi mwmbie usifanye tu kutimiza wajibu u will be happy...

  plz share some tips zenu nipate maufundi mapya..

  thx.
   
 2. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 5,892
  Likes Received: 5,849
  Trophy Points: 280
  Aiseeee, I real like this..! Mkiwezeshwa mnaweza!
   
 3. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  twaeza bila kuwezeshwa..
   
 4. m

  mndebile Senior Member

  #4
  Nov 10, 2012
  Joined: Sep 4, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Samahani kama hujaolewa naomba contact ili njionee mwenyewe hayo maujuzi.
   
 5. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ningekups but sitaki kugandws my dia.. unaweza usahau ur ril world buree
   
 6. epson

  epson JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 502
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  romantic chats play an important role to provoke sexual ……
   
 7. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sana.inamfanya mwenzi wako anakuwaza muda wote..
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,588
  Likes Received: 772
  Trophy Points: 280
  Mwambie Graca, "ukimpa atalewa, na ukimnyima hurumaa". LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. epson

  epson JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 502
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  .....na mkisha chat up to the threshold level, mara mtakapokutana, mwenyewe utajua ni nini kifuatacho itv
   
 10. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  thx Kaunga umenipa msemo mzuri sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  TeGo vipi? unamuachia?
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ngoja nami nisubiri maujuz mapya yashushwe hapa
   
 13. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yaani kwanza mi nakua tayari nipo level inginee kabisaa..
   
 14. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  si muumini wa hyo mikitu mie.. ila mengine aah sina hiyana
   
 15. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,377
  Likes Received: 9,368
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmmmmh! I see! Japo sitaki kujibu manake hizi ni SIRI ZA BIASHARA ila ngoja nijibu tu.

  1.Mbinu yangu ya kwanza huwa sipendi KUWE NA TIME TABLE!!!!! Hell No! Yaani ajue wiki hii kuna mechi 3, zitachezwa oldtrafold, Emirates na Anfield. Hakuna biashara kama hiyo!!!! Mambo ni suprise tu.

  2. Funguo ninayo, nawahi mwenyewe, nasafisha afu nachojoa viwalo vyote, naoga afu najitupa kwenye 6*6 nazuga na novel ya SYDNEY SHELDON!!! Mdogo mdogo nasubiri arudi. ( Noma kna siku alirudi na Maza wake, afu maza anapenda kukagua kila kona, NILIZAMAJE UVUNGUNI FASTA!!!!!! Hatari! Surprise zingine nomaaa!)

  3.Nyingine ni design za KABA KOO, mtu yupo busy na Match au TV we umelala mwenyewe unangoja aje, Nainuka na khanga naenda kunywa maji ya Uongo, khanga inadondoka mbele yake siiokoti naendelea na safari. Lazima aje.(Tatizo akisikia GOOOOOOOOOO!!!! Anastopisha game ya huku na kwenda kuchungulia nani kafunga? Nani?)

  4.Nikiona amenuna kama COBRA almanusura kupasuka, NAMPOOZA KIDOGO manaake hawakawii hawa!

  5. Namtext tu kazini leo ukitoka pitia hapa hotelini chumba namba 3, baasi wee masaa yanakuwa hayaendi.
   
 16. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ila hakikisheni mnapima kabla ya kushobokeana ili msijemalizana kwa miwaya tukapata hasara bure. Otherwise wazo lako ni zuri hasa kwa vijana wa sasa. Mie baba yenu nshavuka huko ingawa siachi kudurusu mawazo yenu. Go ahead mpime na mfanye hayo ma experiments yenu kwa salama na mulua.
   
 17. m

  mndebile Senior Member

  #17
  Nov 10, 2012
  Joined: Sep 4, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  Hata mie nimeupenda huo msemo, kwa maoni yangu afadhali kunipa nikalewa nami nitakuambukiza ujuzi
   
 18. epson

  epson JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 502
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  hongera inaonesha how much you enjoy ua man, always usipokuwa mbunifu utaishia kulaumu siku zote lakini ukijishughurisha mambo yanajipa yenyewe
   
 19. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Unamtumia vipicha vyako vya mahaba anapata stimu za kumbandua nyumba ndogo .
   
 20. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,380
  Likes Received: 2,522
  Trophy Points: 280
  Mbona hakuoi?

  Unaweza kuta we unacheza tu. Huko nje anabebwa wakati wa kutoka kuoga.
   
Loading...